Ni kweli kwamba nisipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu nitapata laana au mikosi kwenye kazi zangu?

Kujisikia vibaya ni aina moja wapo ya laana, coz why ujisikie vibaya?
Huwezi jisikia vibaya kama umeamua kutofanya hivyo utaona kawaida na laana haitakupata.
Na ukijisikia vibaya utaenda kuyasafisha na laana haitakupata.
 
Kujisikia vibaya ndio laana yenyewe hiyo
 
Back
Top Bottom