Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Huwezi jisikia vibaya kama umeamua kutofanya hivyo utaona kawaida na laana haitakupata.Kujisikia vibaya ni aina moja wapo ya laana, coz why ujisikie vibaya?
Na ukijisikia vibaya utaenda kuyasafisha na laana haitakupata.