Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Mar 19, 2022 #41 FRANCIS DA DON said: Kujisikia vibaya ni aina moja wapo ya laana, coz why ujisikie vibaya? Click to expand... Huwezi jisikia vibaya kama umeamua kutofanya hivyo utaona kawaida na laana haitakupata. Na ukijisikia vibaya utaenda kuyasafisha na laana haitakupata.
FRANCIS DA DON said: Kujisikia vibaya ni aina moja wapo ya laana, coz why ujisikie vibaya? Click to expand... Huwezi jisikia vibaya kama umeamua kutofanya hivyo utaona kawaida na laana haitakupata. Na ukijisikia vibaya utaenda kuyasafisha na laana haitakupata.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Mar 19, 2022 #42 Yoda said: Ukiumwa kichwa ni laana? Click to expand... Tofautisha physical na phsychological pain
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Mar 19, 2022 #43 Demi said: Huwezi jisikia vibaya kama umeamua kutofanya hivyo utaona kawaida na laana haitakupata. Na ukijisikia vibaya utaenda kuyasafisha na laana haitakupata. Click to expand... Kujisikia vibaya ndio laana yenyewe hiyo
Demi said: Huwezi jisikia vibaya kama umeamua kutofanya hivyo utaona kawaida na laana haitakupata. Na ukijisikia vibaya utaenda kuyasafisha na laana haitakupata. Click to expand... Kujisikia vibaya ndio laana yenyewe hiyo