Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Acha basi hizo,mbona vietnam na Taliban wamechemsha,kua na vifaa vya kisasa sio tija,tija ni weredi,ndio maana vijana wa Gadhafi tuliwatwanga vizuri sana vita vya kagera mbali ya kua wao walikua na dhana za kisasa
 
Daah tusijidharau sana kiasi hicho
 
Ulitaka nilete story za family yako ndo tuzijadili?

Broooo umechemshaaaa saaanaaa....hizi ni stories za watoto wa form one wakiwa wanasubiri kupangiwa madarasa kipindi wakianza masomo mwanzo wa mwaka
Kuweni na nidhamu na majeshii yetuuu [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Duh mkuuu mbona una matusi
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
 
Povuu
 
Sawa mlinzi Wa taifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunaga mtanzania namba moja mkuu, kwahyo hayo maswala tuyaachetu, kikubwa ni kwamba nawe pia ni mlinzi wa nchi hii.
 
Acha basi hizo,mbona vietnam na Taliban wamechemsha,kua na vifaa vya kisasa sio tija,tija ni weredi,ndio maana vijana wa Gadhafi tuliwatwanga vizuri sana vita vya kagera mbali ya kua wao walikua na dhana za kisasa
Hzo zote ni war of choice, yaan hakukuwa na ulazima wa kwenda vitani , kuanzia wananchi na hata baadh ya makamanda hawakuridhia nchi yao iingie vitani, kulikuwa na mgawanyiko, na ndo mana hata sasa kuna shinikizo kubwa nchi irudishe wanajeshi nyumban , mana wanachokipigania hakieleweki zaidi ya kuzionea hzo nchi, hata hvyo ukiangalia victim utaona vietnam na taleban ndo walioumia zaid, hakuna alipochemsha, nenda kwenye nchi yake ukampige alafu nchi nzima itangaze kuwa tunakiamsha ndo utawajua vizur, kila kiwanda Kule huwa kinageuzwa kuendana na mahitaji ya vita, achana nao kabisa hawa watu....

Hakuna nchi duniani ya kuweza kupambana na hawa watu zaidi ya miaka miwili, utajitahidi miez sita au mwaka, zaidi ya hapo lazima uteme ulimi....utahenyeshwa kweli kweli...
 
MT
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunaga mtanzania namba moja mkuu, kwahyo hayo maswala tuyaachetu, kikubwa ni kwamba nawe pia ni mlinzi wa nchi hii.
 
mkuu..nilishangaa siku nimeenda pale lugalo naona lutens wamekaa chini ya miti wanapiga soga za madem.nkajiuliza hawa kweli nao ni wanajeshi!
Acha tu mkuu inasikitisha sana kuwa na jeshi linaloconsume tu wala halizalishi chochote,Wabunge/Serikali ifanye Reform katika jeshi letu liwe productive,hata usa wapo imara kwa ulinzi/security lakini jeshi lao linazalisha.
 
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Upumbavu
 
Sasa na ww mleta mada wa wabishani wenzako, hivi kweli utalinganisha vita anazoshiriki marekani na sisi Tanzania, mbona vitu vingine ht havibishaniwi
 
Ila baadhi ya wanajeshi wetu wazembe,mitaa ya home kulikuwa na mwanajeshi mmoja hivi kwanza ni mnene ana kitambi kikubwa kama Peter Msechu,yeye kazi yake ilikuwa dalali wa magari,kila siku anabadilisha magari ila uzuri jamaa yupo social sana hana ule upuuzi wa kufanya vurugu,kama baadhi ya wanajeshi wetu.
 
Huyo mwanajeshi mstaafu ni mpuuzi sana. Na ukute amestaafu na V mbili Tu miaka yote kutokana na uzembe na uvivu sasa anaonea wenzie wivu.
 
Hiv unajua mission za nje zilianzia wapi? Na kwenye utawala gani na Nani aliesababisha hzo mission za nje majeshi yetu yaende?
 
Aliyesema wanajeshi wa Tanzania hawaendi field nani? Kila siku watu wanakuwa deployed kwa siri na hadharani kwenda Congo, Sudan , Jordan na nchi za mashariki ya mbali. Au hiyo sio field pia?
 
Mkuu police wapo vzuri maana wao 24/7 wapo field tena hadharani
Kenya wenzenu walikua hvi hvi kulikandia jeshi magaidi walipoingia (waste gate ) walikimbilia kwa wanajeshi omben tu aman iendelee kudumu mzidi kuvikandia vyombo vya usalama ila cku kikija kunuka ndo mtaelewa umuhimu na umaili wa vyombo vyetu vya usalama

..samaki haoni umuhimu Wa maji akiwa baharin ukimtoa nchi mkavu ana anza kutapa tapa ...
 
Ki uhalisia majeshi yetu yote yanapata basic recruitment course na msing mzuri Ni ule uliojengwa kwa vitu vingi.

Sas sis Ni miez 6-9 hapo ndio unazalisha askar lazima Kuna watu hawatojua na Kuna kujifunza kazin Kuna mambo meng kuelewa au kutokuelewa.

Kiuhalisia ss bado sasa makamanda wetu weng sana wa juu hawajapitia war zone kabisa Zaid ya kwenda mission na kiukweli katika mission sio muda wote mnakuwa Frontline Kuna kipnd hata miez mitatu Ni Bata tu hakuna tabu waaasi wametulia tu na wakifanya ambush wanagonga wanasepa

Kiuhalisia police wa TZ wako more field kushinda private w JWTZ coz wao Ni 24/7 face to face battle (closely battle) kwahyo lazima mtujue mtoa mada kagusa angle tata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…