Umeandika ujinga: kwanini nasema hivyo! Ni kwasababu unachokiongea hukijui, nikwasababu hauna evidences za kutosha, na watu kama nyie ndo mnaliuza taifa kwa kutojikibali, hiviii unafikiri kila kifanyikacho mpaka uwe na taarifa!
Kwenye proffession yoyte mbobeaji lazima awe na secrecy and confidentiality sasa mi sielewi unapo anza kubwabwajatu, sasa kukaa kwenye jua kali ndo kua strong au!
Alaf we kijana, jitahidi basi ujue kua tupo karne21 basii kwenye ilimwengu wa technolojia, sio kipindi cha classical au dark ages ambako watumia nguvu walikua wakipatikana kwa wingi, sahivi ni ulimwengu wa technolojia na akili na ndio maana zipo technology mbalimbali kwenye majeshi mengi hapa duniani,, nahayo huyajuitu bado!!!
Jeshi la nchi hii unahisi limegawanyika kwenye nyanja ngapi kwanza??
Kwanza we hata kambini unapajua wewe??
Laiti kama jeshi la nchi hii lisingekua imara hakika lisingekua likiaminika kwenye umoja wa mataifa.
Alaf kule ni vitengo, sio kilamtu ni mpiganaji, so kitu kama hujui tuliza mshono.
Inaonekana huna exposure ya wanajeshi wewe, sasa hebu sikumoja jitahidi hata kidogo unye kwenye mazingira ya kambi, Au andamana uone kama tz kuna jeshi au hakuna.