Kwani ameajiriwa akiwa Generl,si alianzia private.Hayo ni matusi makubwa sana. Huyo Askari alikuwa ni nanga kwa miaka yote 30 aliyo kaa jeshini. Hajui hata majukumu ya Private jeshini na afisa mwandamizi kama General. General haendi front line, anaweza kaa mtaa wa Mirambo Upanga akapiganisha vita Butembo au Bunya DR Congo. Vile vile ajue course za msingi wanazo attend Majenerali ni sawa.
Kwahiyo uimara wa jeshi in kupiga waandamanaji?.Umeandika ujinga: kwanini nasema hivyo! Ni kwasababu unachokiongea hukijui, nikwasababu hauna evidences za kutosha, na watu kama nyie ndo mnaliuza taifa kwa kutojikibali, hiviii unafikiri kila kifanyikacho mpaka uwe na taarifa!
Kwenye proffession yoyte mbobeaji lazima awe na secrecy and confidentiality sasa mi sielewi unapo anza kubwabwajatu, sasa kukaa kwenye jua kali ndo kua strong au!
Alaf we kijana, jitahidi basi ujue kua tupo karne21 basii kwenye ilimwengu wa technolojia, sio kipindi cha classical au dark ages ambako watumia nguvu walikua wakipatikana kwa wingi, sahivi ni ulimwengu wa technolojia na akili na ndio maana zipo technology mbalimbali kwenye majeshi mengi hapa duniani,, nahayo huyajuitu bado!!!
Jeshi la nchi hii unahisi limegawanyika kwenye nyanja ngapi kwanza??
Kwanza we hata kambini unapajua wewe??
Laiti kama jeshi la nchi hii lisingekua imara hakika lisingekua likiaminika kwenye umoja wa mataifa.
Alaf kule ni vitengo, sio kilamtu ni mpiganaji, so kitu kama hujui tuliza mshono.
Inaonekana huna exposure ya wanajeshi wewe, sasa hebu sikumoja jitahidi hata kidogo unye kwenye mazingira ya kambi, Au andamana uone kama tz kuna jeshi au hakuna.
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Ni noma sana mkuu[emoji106] Vita usiviombe ni sawasawa na kuomba njaa au kipindupindu na ebola vije nyumbani kwako kwa pamoja wakati huna hata Mia. Vita endelea kuviona Hollywood na kwenye series mnazoangalia. Vita experience nyingine
Jkt ni moja ya kamand ya jwtz unapozumzia jwtz ina manisha hata jkt inahusikaNazungumzia JW na si JKT Mkuu.
Mbona mmekaririshwa vita,vita,vita kama ndiyo majukumu pekee ya kijeshi!Generali aliyewahi kupigana vita akiwa Private,Na Generali ambaye toka akiwa Private hajawahi kushiriki vita yoyote hadi anakuwa Generali.Huwezi niambia hawa watu watakuwa sawa katika majukumu yao ya kivita....
Huo "uokoaji" ni upi hasa?? Mwaka jana watu zaidi ya mia mbili wamefia kwenye kivuko cha MV Nyerere miili yao ikaliwa na mamba usiku kucha....hilo jeshi lilikuwa wapi?Mbona mmekaririshwa vita,vita,vita kama ndiyo majukumu pekee ya kijeshi!
Jeshi ni 'mult purpose activities job' na kazi ama majukumu ya jeshi zimeainishwa wazi katika vitabu vya sheria za kijeshi (National defence act) zilizotungwa na bunge.
Majukumu ya mwanajeshi pa1 na vita ni kuzuia majanga, uokoaji, kujilinda, ulinzi wa mipaka, kutoa elimu ya ulinzi wa jamii, ujenzi, uhandisi nk nk, pia kufanya kazi yoyote ile itakayoamriwa na amiri jeshi mkuu.
Kazi zote hizo hutakiwa kufanywa na mwanajeshi kwa weledi na nidhamu isiyohojika.
Kazi yoyote inayofanywa na jeshi kwa weledi, iwe vita ama kazi yoyote iliyoamriwa na mkuu wa majeshi huchukuliwa kama ni ushindi.
Na uzembe wowote unaobainika katika utekelezaji wa majukumu hayo, uzito wa mashitaka na adhabu yake hufanana.
Kuhusu vyeo na maslahi ya jeshi havitolewi kama njugu. Magroup ya vyeo yapo kimpangilio wa kimuundo na kimataifa.
Corporal rank ya Marekani hauwezi kulinganisha na Liutenant rank ya Tz kwa kuwa kila cheo kinapata mafunzo ya kada ya uongozi wa cheo chake.
Ndiyo kusema, ukisema 'Corporal' inamaana ileile katika jeshi lolote kwamba cheo hicho kina hadhi ya balozi wa nyumba kumi na ukisema 'General' utakuwa unazungumzia ngazi ya waziri kwa muktadha wa vyeo vya kiraia.
Watu wasichanganye vyeo na maslahi kwa kuwa kila nchi hulipa askari wake kutokana na uchumi wake, lakini vyeo na madaraka ya kijeshi vinafanana kimataifa.
Ujue mkuu, jeshi halifanyi kazi bila kuamriwa.Huo "uokoaji" ni upi hasa?? Mwaka jana watu zaidi ya mia mbili wamefia kwenye kivuko cha MV Nyerere miili yao ikaliwa na mamba usiku kucha....hilo jeshi lilikuwa wapi?
Lakini pa1 na yote hayo ni ukweli usiopingika kuwa jeshi la marekani Lina wanajeshi wenye uzoefu mkubwa zaidi kuliko wa tzMbona mmekaririshwa vita,vita,vita kama ndiyo majukumu pekee ya kijeshi!
Jeshi ni 'mult purpose activities job' na kazi ama majukumu ya jeshi zimeainishwa wazi katika vitabu vya sheria za kijeshi (National defence act) zilizotungwa na bunge.
Majukumu ya mwanajeshi pa1 na vita ni kuzuia majanga, uokoaji, kujilinda, ulinzi wa mipaka, kutoa elimu ya ulinzi wa jamii, ujenzi, uhandisi nk nk, pia kufanya kazi yoyote ile itakayoamriwa na amiri jeshi mkuu.
Kazi zote hizo hutakiwa kufanywa na mwanajeshi kwa weledi na nidhamu isiyohojika.
Kazi yoyote inayofanywa na jeshi kwa weledi, iwe vita ama kazi yoyote iliyoamriwa na mkuu wa majeshi huchukuliwa kama ni ushindi.
Na uzembe wowote unaobainika katika utekelezaji wa majukumu hayo, uzito wa mashitaka na adhabu yake hufanana.
Kuhusu vyeo na maslahi ya jeshi havitolewi kama njugu. Magroup ya vyeo yapo kimpangilio wa kimuundo na kimataifa.
Corporal rank ya Marekani hauwezi kulinganisha na Liutenant rank ya Tz kwa kuwa kila cheo kinapata mafunzo ya kada ya uongozi wa cheo chake.
Ndiyo kusema, ukisema 'Corporal' inamaana ileile katika jeshi lolote kwamba cheo hicho kina hadhi ya balozi wa nyumba kumi na ukisema 'General' utakuwa unazungumzia ngazi ya waziri kwa muktadha wa vyeo vya kiraia.
Watu wasichanganye vyeo na maslahi kwa kuwa kila nchi hulipa askari wake kutokana na uchumi wake, lakini vyeo na madaraka ya kijeshi vinafanana kimataifa.
sisi TPDF tulikwenda Anzuwani, Msumbji, zimbabwe,namibia,Lebanono, Sudani, somalia, Israel, RSA, Syria, Vietnam, hata ww ii. babu yangu alienda
Neng'eneka uone sasaKwahiyo uimara wa jeshi in kupiga waandamanaji?.
Sikuwahi kufikiri u ujinga kiasi hiki.
Nazungumzia JW mabaka magwanda.Jkt ni moja ya kamand ya jwtz unapozumzia jwtz ina manisha hata jkt inahusika
[emoji106] Vita usiviombe ni sawasawa na kuomba njaa au kipindupindu na ebola vije nyumbani kwako kwa pamoja wakati huna hata Mia. Vita endelea kuviona Hollywood na kwenye series mnazoangalia. Vita experience nyingine
Najiuliza hawa wanaotukana jeshi letu wanakaa wapi? Hakuna mtu anawashika kukaa Tanzania. Nendeni nchi nyingine huko.
Najua ndo maana namuuliza mtoa post maana naona anataka tukafanye wanajeshi wetu wakatafute exprience
Tena nanga wa demo
Kazi yao ndo inakufanya hupo umela na awala yako. Kuna watu wako kwenye bunkers, patrols, training, recce, behind en lines 24/7 ndo maana una jeuri. Kwenye jeshi namba peke yake Ni silaha inamtisha adui
Mkuu hili la kusema Somalia, Israel, Syria, 'Sauzi', Zimbabwe na Namibia, umebonyeza sana.sisi TPDF tulikwenda Anzuwani, Msumbji, zimbabwe,namibia,Lebanono, Sudani, somalia, Israel, RSA, Syria, Vietnam, hata ww ii. babu yangu alienda
Hili ni tusi la nguoni kwa JWTZVita ni sehemu tu ya majukumu ya kijeshi, si kwamba vita ndiyo kila kitu jeshini. Ni kupitia majukumu hayo wanajeshi hutambuliwa kwa ukakamavu wao. Kusimamia ujenzi wa ukuta wa Mirerani ndani ya muda na gharama ile siyo jambo dogo ni mission kubwa sana ile.
Kingine uelewe kuwa si kila mwanajeshi ukadhani kuwa awapo vitani huwa anajukumu la kurusha visasi, si wote warushao risasi, wengine kazi yao ni kutafuta na kuokoa majeruhi wao tu, wengine kazi yao ni kuwezesha mawasiliano, wengine kazi yao ni kusambaza supplies tu, kuna wengine wapo kwa ajili ya ujenzi tu.