Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 374
- 207
Jamii forum hawana kosa, mwenyewe kayakoroga, wa-Tz wa leo ni television!Mmefanya Mzee wa watu aondoe CV zake mitandaoni,Aliweka ikiwa na kurasa nyingi zaidi ya 16+
Jamiiforum mmeichokonoa ,kaona mtamuaibisha zaidi
Huko mitandaoni walipoona makaratas mengi wakaogopa sana,Jamii forum hawana kosa, mwenyewe kayakoroga, wa-Tz wa leo ni television!
Huyo Nina hakika hajawai hata kusomea nje ya nchi.Kwahiyo mct ndio kipimo cha ubingwa? Wewe unajua nini kuhusu elimu? Ili ufanye undergraduate pale MUHAS si kwa vigezo vyenu mliweka uwe umamaliza kidato cha Sita katika tahasusi ya PCB, je kila nchi wanasoma mpaka form 6? Na wanasoma PCB? Sasa unakataa vip kuwa ubingwa wa mtu sio lazima upimwe na MCT kama interest ya mtu sio kutambuliwa?
Halafu kwanza tukusaidie kitu, kuna holders wengi wa taaluma ambao taaluma zao hawakuwa na shida ya kutambuliwa na mamlaka za sehemu husika walipo.
Mimi naweza kuwa Professor nchi husika nikija UDSM wakaishia kuniona mzalimili fulani tu, watanitaka nikawasilishe kazi zangu mbele ya jopo la wataalamu wao na mimi huo muda wa kwenda kuongea na kina Ruge sina na sihitaji kutambuliwa kama Professor na kina Anangisiye ambao hata lugha yenyewe wanaweza wasisikie ninachoongea.
Halafu umejihakikishia umeelewa maana ya Fellowship? Na nani anakupa sifa linganishi za utaalamu fulani? Hebu wasaidie wenzako hapo kwenye fellowship Janabi alitoka na kitu gani?
Wacha samia aaozee yeye ndio anaetwe majina na akuyapitisha bila kuangalia vzrCV imeondolewa Instagram ingawa watu wamesha download! Kwanini Prof Janabi ameiondoa CV aliyoiweka mwenyewe ktk kuanza kampeni ya safari yake ya WHO! Je! Ni kweli kuna mambo hayako Sawa? Tunasubiri alete mpya tulinganishe!!!
Narudia tena kama TAIFA tunaenda kupambana na Africa nzima! Muda huu wameshachambua kila kitu kwenye taaluma ya mgombea wetu! Ni vyema busara itumike nchi isiingie
Ktk kashfa!!
Huu ni ushauri TUU ktk kuendelea kuiheshimisha mamlaka yetu tukufu! Inawezekana hii CV iliyofutwa ndiyo ilipelekwa kwa Rais na kwa kweli ilikuwa appealing!!
Queen Esther
Katuletea shida huku Tanganyika.Huyo JANABA ndio nani huko Tanzania
Wacha wamchane chane.Huko mitandaoni walipoona makaratas mengi wakaogopa sana,
Jf sasa wameichokonoa Hadi hizo paper alizofanya inaonekana utapeli tu
Nilikua namjibu huyo jamaa ako huyo aliesema Janabi ataiabisha Tanzania WHO yeye ndo kilazaImebidi nicheke. Umeniita kilaza. Mtu mwerevu hakurupuki kutoa majibu. Hebu angalia nilichoandika halafu fuatilia nilikuwa namjibu aliyeandika nini na wewe umekuja kuandika nini.
Kuwa nyuma ya keyboard haikupi uwezo wa akili au ufahamu kuliko wengine mkuu. Kabla ya kuandika na kujibu elewa dhima ya mwandishi vinginevyo utaenda OP uonyeshe ukilaza wako. Otherwise una mawazo mazuri ila rekebisha lugha mbofumbofu kwa vitu ambavyo hujaelewa
Fellowship ya moyo sio specialization acha kudakia vitu hujui.Alifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa
Janaba...ni janaba tu! Hata ufanyeje!... Litatoa harufu! Litanuka tu! Ndio jina lake! Mwache aongee anachojiskia!... Na yeye ana waumini wake wanaomtiiwww.jamiiforums.com
Kabisa hii mada iishe mwenyewe Janabi hajui kama kuna watu wanabishana humu na hawana pesa mfukoniMmeanza,
hebu acheni hizo.
Hawataki ati.Fellowship ya moyo sio specialization acha kudakia vitu hujui.
Huyo atakuwa anafuatilia sana, ni mtu wa mitandaoni sana. Ila kala za uso.Kabisa hii mada iishe mwenyewe Janabi hajui kama kuna watu wanabishana humu na hawana pesa mfukoni
Ni kweliHawataki ati.
Maana hata Janabi asipopata hiyo position bado ana kazi yake nzuri tu hapa na anakula ela nzuri kuliko hizo MMED mnazotaka awe nayo.Huyo atakuwa anafuatilia sana, ni mtu wa mitandaoni sana. Ila kala za uso.
Hapo wanachokonoa tu ila pointi yao ipoKabisa hii mada iishe mwenyewe Janabi hajui kama kuna watu wanabishana humu na hawana pesa mfukoni
Mkuu, kwani tumekukosea nini? Mbona unajaribu kutupiga kamba nyepesi hivyo? We huogopi?
Hii ni Harvard
View attachment 3174268
Hana sifa!Hapo wanachokonoa tu ila pointi yao ipo
Unaota nini?Hana sifa!
Mchana?Unaota nini?