Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Kwahiyo mct ndio kipimo cha ubingwa? Wewe unajua nini kuhusu elimu? Ili ufanye undergraduate pale MUHAS si kwa vigezo vyenu mliweka uwe umamaliza kidato cha Sita katika tahasusi ya PCB, je kila nchi wanasoma mpaka form 6? Na wanasoma PCB? Sasa unakataa vip kuwa ubingwa wa mtu sio lazima upimwe na MCT kama interest ya mtu sio kutambuliwa?
Halafu kwanza tukusaidie kitu, kuna holders wengi wa taaluma ambao taaluma zao hawakuwa na shida ya kutambuliwa na mamlaka za sehemu husika walipo.
Mimi naweza kuwa Professor nchi husika nikija UDSM wakaishia kuniona mzalimili fulani tu, watanitaka nikawasilishe kazi zangu mbele ya jopo la wataalamu wao na mimi huo muda wa kwenda kuongea na kina Ruge sina na sihitaji kutambuliwa kama Professor na kina Anangisiye ambao hata lugha yenyewe wanaweza wasisikie ninachoongea.
Halafu umejihakikishia umeelewa maana ya Fellowship? Na nani anakupa sifa linganishi za utaalamu fulani? Hebu wasaidie wenzako hapo kwenye fellowship Janabi alitoka na kitu gani?
Huyo Nina hakika hajawai hata kusomea nje ya nchi.
 
CV imeondolewa Instagram ingawa watu wamesha download! Kwanini Prof Janabi ameiondoa CV aliyoiweka mwenyewe ktk kuanza kampeni ya safari yake ya WHO! Je! Ni kweli kuna mambo hayako Sawa? Tunasubiri alete mpya tulinganishe!!!

Narudia tena kama TAIFA tunaenda kupambana na Africa nzima! Muda huu wameshachambua kila kitu kwenye taaluma ya mgombea wetu! Ni vyema busara itumike nchi isiingie
Ktk kashfa!!

Huu ni ushauri TUU ktk kuendelea kuiheshimisha mamlaka yetu tukufu! Inawezekana hii CV iliyofutwa ndiyo ilipelekwa kwa Rais na kwa kweli ilikuwa appealing!!

Queen Esther
Wacha samia aaozee yeye ndio anaetwe majina na akuyapitisha bila kuangalia vzr
 
Imebidi nicheke. Umeniita kilaza. Mtu mwerevu hakurupuki kutoa majibu. Hebu angalia nilichoandika halafu fuatilia nilikuwa namjibu aliyeandika nini na wewe umekuja kuandika nini.

Kuwa nyuma ya keyboard haikupi uwezo wa akili au ufahamu kuliko wengine mkuu. Kabla ya kuandika na kujibu elewa dhima ya mwandishi vinginevyo utaenda OP uonyeshe ukilaza wako. Otherwise una mawazo mazuri ila rekebisha lugha mbofumbofu kwa vitu ambavyo hujaelewa
Nilikua namjibu huyo jamaa ako huyo aliesema Janabi ataiabisha Tanzania WHO yeye ndo kilaza
 
Alifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
Fellowship ya moyo sio specialization acha kudakia vitu hujui.
 
Back
Top Bottom