Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Unaujua kwa kina ufahamu wake wa hiyo fani ya kutibu moyo?. Uzoefu alionao kwenye hiyo fani unaweza kuulinganisha na wa watu wengine baki tu?.Jibu maoni ya wadau!, je Ana sifa ya kuitwa cardiologist?
Haya unayosema roho mbaya hayana faida!, ondoa SIASA kwenye UHAI wa watu!
Mwambie mleta uzi kwanza aweke CV yake ili tuione haki aliyonayo ya kumponda profesa anayefanya mengi katika kutibu wagonjwa kila siku pale Muhimbili.Mimi tena?
Nasubiri evidence..ukipata lete jamvini
Msingi wa uzi huu upo katika sentensi ya kwanza ya post hii, wivu unaotutesa wabongo.Nenda pale Muhimbili Madaktari watakwambia kuhusu Janabi!! Huyo hakustahili hata kuwa Mkurugenzi Wa Hospitali Taifa ya Muhimbili. Kijiupepo tu
Sasa kule Who wanakwenda kumuengua kwenye hatua za awali kabisa.
Tabu ya Watanganyika ni tabia ya kuwaamini WACHEKESHAJI.
Kama yeye hajaweka!, wewe tafuta CV yake ya kweli uweke!, usilete ya mchongo!, then simamia hapo kwa hoja! Watakuelewa! Hii ya kusifia bila evidence hatatokuamini!Unaujua kwa kina ufahamu wake wa hiyo fani ya kutibu moyo?. Uzoefu alionao kwenye hiyo fani unaweza kuulinganisha na wa watu wengine baki tu?.
Huu uzi umekaa kichuki zaidi umekaa kiroho mbaya kuliko uhalisia. Huyo mleta mada mbona haweki hadharani sifa zake za kielimu ili tumjadili kwa k
Wivu wa kijinga kabisa.Watanzania tunaishi na roho mbaya na siku zote, kupenda kuyaongelea vibaya mafanikio ya wengine ni sehemu ya chuki zilizomo ndani ya mioyo yetu.
Sipendi kuwa sehemu ya chuki zetu za kibongo.Kama yeye hajaweka!, wewe tafuta CV yake ya kweli uweke!, usilete ya mchongo!, then simamia hapo kwa hoja! Watakuelewa! Hii ya kusifia bila evidence hatatokuamini!
Kama serikali iliweza mtengeneza mtu kama Dorothy Gwajima, kwanini ishindwe tengeneza Dr wa Raisi.ninachojua yeye ndie alikuwa chumba cha hospitali na Rais wetu Magufuli. Ndie anayejua nini hasa kilimkuta. Hii ni kwa mujibu wa Jenerali Mabeyo. Kuna siku tutamuuliza nini kilimkuta Rais wetu.
Ukweli mchungu.Nenda pale Muhimbili Madaktari watakwambia kuhusu Janabi!! Huyo hakustahili hata kuwa Mkurugenzi Wa Hospitali Taifa ya Muhimbili. Kijiupepo tu
Sasa kule Who wanakwenda kumuengua kwenye hatua za awali kabisa.
Tabu ya Watanganyika ni tabia ya kuwaamini WACHEKESHAJI.
With due respect! Mkuu upande huu haukufai ...kuna mtu kashikwa pabaya...we fuatilia utaonaTuache utoto na nadharia, upewi kisu cha kupasua watu kwenye afya without proper training,
Labda issue iwe quality of training, sasa hapo inataka majibizano yao madaktari (ambao ni wataalamu) sio hakina sisi.
Vinginevyo Janabi ni cardiologist.
Na anafahamika wazi.With due respect! Mkuu upande huu haukufai ...kuna mtu kashikwa pabaya...we fuatilia utaona
Ingesaidia kama ungenipa lead, nifuatilie kitu gani, lengo letu ni kuelimishana hapa.With due respect! Mkuu upande huu haukufai ...kuna mtu kashikwa pabaya...we fuatilia utaona
Out off topic….. 😂😂😂😂😂😂 mkuu bora uwe msomaji kama sisi kuliko kuleta vituko! Jibu maswali ya mtoa mada..mtoa mada yuko clear na anayo yaongea ameyatoa kwenye tovuti ya MCTAcha roho mbaya. Kwani ww una cv nzuri zaidi ya Dr Janabi?
Akipigiwa debe unapata hasara GANI?
Anachokusudiwa kushindania akiachwa yeye wewe ni Bora zaidi yake?
Black skin sijui nani katuloga?
Ukiona mwenzio ana dalili ya kufanikiwa wewe roho inakuuma.
Una faidika nini na hiyo roho mbaya ⁉️
Kwa hiyo unakubaliana na Mtoa taarifa kuwa Janabi sio Dr bingwa wa Moyo? Mbona huwa anajitambulisha kwa matendo na maneno na ushauri kuwa yeye ni bingwa wa moyo? Kwwanini mlificha mpaka mambo yatafutwe?Hizi taarifa amekupa Dr. Kisenge wa hapo JKCI kwa sababu ya tamaa zake.. ili uje umchafue janabi Jamiiforum kwa sababu hajapendekezwa yeye
Watu wajibu hoja jamani bado mleta mada hajajibiwa!Hakuna mahali anaruka viunzi. Hoja hujibiwa kwa Hoja, na siyo vinginevyo. Kwenye hili, Mleta mada Hoja zake zinaeleweka kwa nini anasema Prof siyo Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo. Shida, wewe na wengine, tumehamaki na kumshambulia Mleta Uzi badala ya kujibu Hoja zake kwa Hoja.
Kamchafua , yaani kasema "urongo" au kasema kweliDr Janabi kasoma miaka na miaka pia kafanya kazi, hakujifikisha katika hiyo nafasi kwa mbeleko kama tunavyodhania.
Watanzania tunayo sifa ya kishamba sana ya kudharau juhudi anazofanya mtu katika kutafuta maarifa. Huyo mdau anayomponda Dr Janabi hawezi kuweka CV yake humu watu wakaikagua anachoweza kufanya ni kumchafua mtu anayetegemewa kupendekezwa na Rais katika nafasi nyeti ya kimataifa.
Sina haja ya kwenda Muhimbili kuhoji hayo yote.Nenda pale Muhimbili Madaktari watakwambia kuhusu Janabi!! Huyo hakustahili hata kuwa Mkurugenzi Wa Hospitali Taifa ya Muhimbili. Kijiupepo tu
Sasa kule Who wanakwenda kumuengua kwenye hatua za awali kabisa.
Tabu ya Watanganyika ni tabia ya kuwaamini WACHEKESHAJI.