Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Jibu maoni ya wadau!, je Ana sifa ya kuitwa cardiologist?
Haya unayosema roho mbaya hayana faida!, ondoa SIASA kwenye UHAI wa watu!
Unaujua kwa kina ufahamu wake wa hiyo fani ya kutibu moyo?. Uzoefu alionao kwenye hiyo fani unaweza kuulinganisha na wa watu wengine baki tu?.

Huu uzi umekaa kichuki zaidi umekaa kiroho mbaya kuliko uhalisia. Huyo mleta mada mbona haweki hadharani sifa zake za kielimu ili tumjadili kwa kina?.
 
Nenda pale Muhimbili Madaktari watakwambia kuhusu Janabi!! Huyo hakustahili hata kuwa Mkurugenzi Wa Hospitali Taifa ya Muhimbili. Kijiupepo tu

Sasa kule Who wanakwenda kumuengua kwenye hatua za awali kabisa.

Tabu ya Watanganyika ni tabia ya kuwaamini WACHEKESHAJI.
Msingi wa uzi huu upo katika sentensi ya kwanza ya post hii, wivu unaotutesa wabongo.
 
Unaujua kwa kina ufahamu wake wa hiyo fani ya kutibu moyo?. Uzoefu alionao kwenye hiyo fani unaweza kuulinganisha na wa watu wengine baki tu?.

Huu uzi umekaa kichuki zaidi umekaa kiroho mbaya kuliko uhalisia. Huyo mleta mada mbona haweki hadharani sifa zake za kielimu ili tumjadili kwa k
Kama yeye hajaweka!, wewe tafuta CV yake ya kweli uweke!, usilete ya mchongo!, then simamia hapo kwa hoja! Watakuelewa! Hii ya kusifia bila evidence hatatokuamini!
 
Hii ni mada ya kitoto sana.

Medical practice ni very regulated.

Uamki asubuhi moja na kuwa surgeon hasa wa ubongo au moyo (Hakuna shortcut) you have to undergo rigorous training.

Huo ni utaratibu wa shughuli ya upasuaji wowote hadi kupata hiko kibali na sio shughuli ya kitoto.

Shida ya Janabi ni limitations zake kwenye medical field zingine.

Medicine ni discipline pana; na wazi kwa ushauri wake wa diet hana elimu pana ya nutrient.

Lakini kusema mtu anaweza kuwa surgeon bila ya training dah hiyo hapana.

Shida labda inaweza kuwa quality of training. Kuna siku niliwahi kumsikia akiongelea magonjwa ya moyo after that nikajisemea (there is no way, nitakubali Janabi apasue kifua changu).

Similarly nikisoma mada za JF jukwaa la afya kuhusu type two diabetics, uelewa wa wachangiaji wa madaktari wetu kuhusu pathophysiology ya ugonjwa unanipa mashaka sana na tiba wanazotoa.

Kuhusu teuzi ya raisi

Mshauri wa maswala ya afya lazima awe na uelewa wa health management

Kwa nafasi ya Janabi hadi kuwa mkuu wa kutio kama Muhimbili. Hata kama ajapitia succession planning ya wenzake kama hakina Dorothy Gwajima (kwenda kusoma shahada za public health). Itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kwa mamlaka ya teuzi kama ajapewa hata management training skills zingine through succession planning.

Iła nimesikiliza interview kadhaa za Janabi akiongelea afya, I am not convinced.

Ila watanzania tuachane na demeanour ya uanamke sana (ambayo inaweza fanya umchukulie poa), ‘Dorothy Gwajima’ lakini sio wa mzaha-mzaha kabisa kwenye usimamizi wa afya.

The woman is actually a proper technocrat. Kwenye management ya afya yaani sio wa mzaha-mzaha hata kidogo. Ni proper technocrat.

Achana na machawa wanao-support ilimradi na wao waonekane wamo, hee mama unaupiga mwingi mradi wamesemema, ohoo we mama nakupenda kwa sababu za ujinga tu.

But in fact Dorothy Gwajima ni proper health management technocrat achana na demeanor zake za kike sana.

You just don’t know
 
ninachojua yeye ndie alikuwa chumba cha hospitali na Rais wetu Magufuli. Ndie anayejua nini hasa kilimkuta. Hii ni kwa mujibu wa Jenerali Mabeyo. Kuna siku tutamuuliza nini kilimkuta Rais wetu.
Kama serikali iliweza mtengeneza mtu kama Dorothy Gwajima, kwanini ishindwe tengeneza Dr wa Raisi.

Iła kwenye ushauri wa nutrient I am not convinced na Janabi.

Halikadhalika siwezi tetea weledi wa Dorothy Gwajima kwenye medical practice, ila kwenye management ya sector hapo sijaona.
 
Tuache utoto na nadharia, upewi kisu cha kupasua watu kwenye afya without proper training,

Labda issue iwe quality of training, sasa hapo inataka majibizano yao madaktari (ambao ni wataalamu) sio hakina sisi.

Vinginevyo Janabi ni cardiologist.
 
Tuache utoto na nadharia, upewi kisu cha kupasua watu kwenye afya without proper training,

Labda issue iwe quality of training, sasa hapo inataka majibizano yao madaktari (ambao ni wataalamu) sio hakina sisi.

Vinginevyo Janabi ni cardiologist.
With due respect! Mkuu upande huu haukufai ...kuna mtu kashikwa pabaya...we fuatilia utaona
 
Acha roho mbaya. Kwani ww una cv nzuri zaidi ya Dr Janabi?

Akipigiwa debe unapata hasara GANI?
Anachokusudiwa kushindania akiachwa yeye wewe ni Bora zaidi yake?
Black skin sijui nani katuloga?
Ukiona mwenzio ana dalili ya kufanikiwa wewe roho inakuuma.

Una faidika nini na hiyo roho mbaya ⁉️
Out off topic….. 😂😂😂😂😂😂 mkuu bora uwe msomaji kama sisi kuliko kuleta vituko! Jibu maswali ya mtoa mada..mtoa mada yuko clear na anayo yaongea ameyatoa kwenye tovuti ya MCT
 
Hizi taarifa amekupa Dr. Kisenge wa hapo JKCI kwa sababu ya tamaa zake.. ili uje umchafue janabi Jamiiforum kwa sababu hajapendekezwa yeye
Kwa hiyo unakubaliana na Mtoa taarifa kuwa Janabi sio Dr bingwa wa Moyo? Mbona huwa anajitambulisha kwa matendo na maneno na ushauri kuwa yeye ni bingwa wa moyo? Kwwanini mlificha mpaka mambo yatafutwe?
 
Hakuna mahali anaruka viunzi. Hoja hujibiwa kwa Hoja, na siyo vinginevyo. Kwenye hili, Mleta mada Hoja zake zinaeleweka kwa nini anasema Prof siyo Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo. Shida, wewe na wengine, tumehamaki na kumshambulia Mleta Uzi badala ya kujibu Hoja zake kwa Hoja.
Watu wajibu hoja jamani bado mleta mada hajajibiwa!
 
Dr Janabi kasoma miaka na miaka pia kafanya kazi, hakujifikisha katika hiyo nafasi kwa mbeleko kama tunavyodhania.

Watanzania tunayo sifa ya kishamba sana ya kudharau juhudi anazofanya mtu katika kutafuta maarifa. Huyo mdau anayomponda Dr Janabi hawezi kuweka CV yake humu watu wakaikagua anachoweza kufanya ni kumchafua mtu anayetegemewa kupendekezwa na Rais katika nafasi nyeti ya kimataifa.
Kamchafua , yaani kasema "urongo" au kasema kweli
 
Nenda pale Muhimbili Madaktari watakwambia kuhusu Janabi!! Huyo hakustahili hata kuwa Mkurugenzi Wa Hospitali Taifa ya Muhimbili. Kijiupepo tu

Sasa kule Who wanakwenda kumuengua kwenye hatua za awali kabisa.

Tabu ya Watanganyika ni tabia ya kuwaamini WACHEKESHAJI.
Sina haja ya kwenda Muhimbili kuhoji hayo yote.

Credentials za Janabi zinajieleza .

Kuhusu kugombea nafasi WHO bado nina imani wapo watu wengine wanastahili kuliko yeye hivyo mimi simpi endorsement hiyo.

Na ikitokea akagombea naamini hatoshinda sababu hatokuwa right candidate kwa nchi kwenye nafasi hiyo na pia background check kwenye mambo fulani itamuangusha.
 
Back
Top Bottom