Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Unaujua kwa kina ufahamu wake wa hiyo fani ya kutibu moyo?. Uzoefu alionao kwenye hiyo fani unaweza kuulinganisha na wa watu wengine baki tu?.Jibu maoni ya wadau!, je Ana sifa ya kuitwa cardiologist?
Haya unayosema roho mbaya hayana faida!, ondoa SIASA kwenye UHAI wa watu!
Huu uzi umekaa kichuki zaidi umekaa kiroho mbaya kuliko uhalisia. Huyo mleta mada mbona haweki hadharani sifa zake za kielimu ili tumjadili kwa kina?.