Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Najuaje?Mchana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najuaje?Mchana?
Kifaransa kutokukijua ni hasara ya kwanzaHapo wanachokonoa tu ila pointi yao ipo
Umefanana na Saa100🤣Najuaje?
Huo ubavu utoke wapi?Umefanana na Saa100🤣
Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anahitaji sifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ujuzi wa kuandika na kuzungumza Kifaransa. Hapa kuna sifa hizo:Unaota nini?
Mvunjeni UTIKatuletea shida huku Tanganyika.
Akae kwa kutullia sauti yake haipai mbali kHuyo atakuwa anafuatilia sana, ni mtu wa mitandaoni sana. Ila kala za uso.
Ila wewe una sifa hiyo siyoHana sifa!
Unauliza makofi polisiAkae kwa kutullia sauti yake haipai mbali k
Ila wewe una sifa hiyo siyo
Ila jamaa yetu anajua kinubi tu.Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anahitaji sifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ujuzi wa kuandika na kuzungumza Kifaransa. Hapa kuna sifa hizo:
1. Utaalamu wa Afya: Elimu ya juu katika sayansi za afya, kama vile udaktari au afya ya umma.
2. Uzoefu wa Kazi: Uzoefu katika sekta ya afya, hasa katika mazingira ya Afrika.
3. Uongozi na Usimamizi: Uwezo wa kuongoza na kusimamia timu kubwa, huku ukihamasisha ushirikiano.
4. Uelewa wa Sera za Afya: Maarifa kuhusu sera za afya za kimataifa na mahitaji ya kiafya ya Afrika.
5. Uwezo wa Kutoa Mwelekeo: Uwezo wa kupanga mikakati na kutoa mwelekeo wa kisera.
6. Uwezo wa Mawasiliano: Ujuzi mzuri wa mawasiliano ili kuweza kuwasiliana na wadau mbalimbali.
7. Uelewa wa Utamaduni: Uelewa wa tofauti za kitamaduni na kijamii katika kanda ya Afrika.
8. Uwezo wa Kujifunza na Kurekebisha: Uwezo wa kujifunza kutokana na makosa na kuboresha mikakati.
9. Ushirikiano wa Kimataifa: Uwezo wa kushirikiana na mashirika mengine ya kimataifa.
10. Uthibitisho wa Maadili: Maadili ya juu na kujitolea kwa huduma za afya.
11. Uwezo wa Kuandika na Kuzungumza Kifaransa: Uwezo wa kuwasiliana kwa ufanisi kwa lugha ya Kifaransa, ikiwa ni pamoja na kuandika ripoti na nyaraka rasmi.
12. Uwezo wa Kutatua Migogoro: Ujuzi wa kutatua migogoro katika mazingira magumu.
13. Ujuzi wa Takwimu na Utafiti: Uwezo wa kufanya na kuelewa tafiti za kiafya.
14. Uelewa wa Masuala ya Kiuchumi: Maarifa kuhusu masuala ya kiuchumi yanayoathiri sekta ya afya.
15. Ushirikiano wa Jamii: Uwezo wa kuunda na kudumisha uhusiano mzuri na jamii.
16. Uelewa wa Teknolojia ya Habari: Ujuzi wa teknolojia ya habari ili kuboresha huduma za afya.
17. Uwezo wa Kuendesha Mabadiliko: Uwezo wa kuongoza mabadiliko katika mifumo ya afya.
18. Ushirikiano na Sekta Binafsi: Uwezo wa kushirikiana na sekta binafsi.
19. Uelewa wa Mazingira: Uelewa wa jinsi mazingira yanavyoathiri afya.
20. Uthibitisho wa Kujitolea: Dhamira ya dhati ya kuboresha afya ya jamii.
Sifa hizi zitamuwezesha mkurugenzi huyo kukabiliana na changamoto za kiafya na kuboresha huduma za afya barani Afrika.
Yeah....tabu pale alipotangazwa hadharani.Maana hata Janabi asipopata hiyo position bado ana kazi yake nzuri tu hapa na anakula ela nzuri kuliko hizo MMED mnazotaka awe nayo.
Makonda aka Bashite na wa upande huo wakusemwaMjadala huu wote ni kwasababu jina lake halisi ni Mohamed, humu JF sikuhizi kuna tatizo fulani la kumuangalia mtu utendaji wake kwa misingi ya kibaguzi.
kuanzia Rais, na watendaji wengine wote wanapitia changamoto hiyo!!!
Na yanafanyika haya kwa lengo maalumu.
Link ya jf ya huo mjadalaHuyo mwamba naye sijui ana connection sana?
Alishawahi kuongelewa kwenye mitandao (ikiwemo JF) kuwa ana elimu ya magumashi kwenye hayo mambo ya moyo. Inasemekana wagonjwa wengi walikufa kwa ubabaishaji wake kuanzia Mbeya hadi Morogoro.
Au tumuulize Solak "Zanzibar-ASP" anaye tupa facts za Le Prof ni mtalianoSio kweli. Watu walio objective wanaangalia facts tu. Hayo mambo ya majina labda yako kichwani kwako wewe. Mbona usomi wa Dr Bilali (former VP) au shangazi Fatmah Karume, hautiliwi shaka hata kidogo?
ASP kawakilisha vyema kabisa.Au tumuulize Solak "Zanzibar-ASP" anaye tupa facts za Le Prof ni mtaliano
Link ya jf ya huo mjadala
Kwa hiya unakubaliana na watu kupewa sifa asizostahiliMjadala huu wote ni kwasababu jina lake halisi ni Mohamed, humu JF sikuhizi kuna tatizo fulani la kumuangalia mtu utendaji wake kwa misingi ya kibaguzi.
kuanzia Rais, na watendaji wengine wote wanapitia changamoto hiyo!!!
Na yanafanyika haya kwa lengo maalumu.
Nimesoma mpaka mwisho bado sijaelewa mimi kilaza wa mambo ya afya.
Hoja ya mleta mada ingejibiwa kama mgemuhakikishia kuwa kuna uwezekano wa mtu kuwa daktari bingwa mbobezi wa moyo bila kuwa na hiyo Mmed anayolalamikia mleta mada kwamba Prof. Janabi hana.
Anadai kwamba kuna hatua ya MD, kisha hatua ya Mmed kisha ubingwa na ubobezi unafuatia. Je kuna njia ya kuruka Mmed ila ukawa cardiologist?
Kama inawezekana kule Marekani, Japan au hapa nchini mumsaidie mleta mada. Mmojawapo kagusia fellowship, je hii inaweza simama kama mbadala wa Mmed?
cc DR Mambo Jambo
Fellowship kama hizi za walokole. ?Huw
Huwezi kufanya fellowship ya kuja kuwa Daktari bingwa wa moyo kama hujawahi kufanya Mmed ya internal medicine. Hiyo ndio standard ya duniani nzima, na ndio standard ya iliyopo MCT mpaka sasa.
Kama huamini, leta status ya MCT yenye kuonyesha Professor Janabi hiyo Fellowship yake imekubalika na MCT.