Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Unaota nini?
Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anahitaji sifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ujuzi wa kuandika na kuzungumza Kifaransa. Hapa kuna sifa hizo:

1. Utaalamu wa Afya: Elimu ya juu katika sayansi za afya, kama vile udaktari au afya ya umma.

2. Uzoefu wa Kazi: Uzoefu katika sekta ya afya, hasa katika mazingira ya Afrika.

3. Uongozi na Usimamizi: Uwezo wa kuongoza na kusimamia timu kubwa, huku ukihamasisha ushirikiano.

4. Uelewa wa Sera za Afya: Maarifa kuhusu sera za afya za kimataifa na mahitaji ya kiafya ya Afrika.

5. Uwezo wa Kutoa Mwelekeo: Uwezo wa kupanga mikakati na kutoa mwelekeo wa kisera.

6. Uwezo wa Mawasiliano: Ujuzi mzuri wa mawasiliano ili kuweza kuwasiliana na wadau mbalimbali.

7. Uelewa wa Utamaduni: Uelewa wa tofauti za kitamaduni na kijamii katika kanda ya Afrika.

8. Uwezo wa Kujifunza na Kurekebisha: Uwezo wa kujifunza kutokana na makosa na kuboresha mikakati.

9. Ushirikiano wa Kimataifa: Uwezo wa kushirikiana na mashirika mengine ya kimataifa.

10. Uthibitisho wa Maadili: Maadili ya juu na kujitolea kwa huduma za afya.

11. Uwezo wa Kuandika na Kuzungumza Kifaransa: Uwezo wa kuwasiliana kwa ufanisi kwa lugha ya Kifaransa, ikiwa ni pamoja na kuandika ripoti na nyaraka rasmi.

12. Uwezo wa Kutatua Migogoro: Ujuzi wa kutatua migogoro katika mazingira magumu.

13. Ujuzi wa Takwimu na Utafiti: Uwezo wa kufanya na kuelewa tafiti za kiafya.

14. Uelewa wa Masuala ya Kiuchumi: Maarifa kuhusu masuala ya kiuchumi yanayoathiri sekta ya afya.

15. Ushirikiano wa Jamii: Uwezo wa kuunda na kudumisha uhusiano mzuri na jamii.

16. Uelewa wa Teknolojia ya Habari: Ujuzi wa teknolojia ya habari ili kuboresha huduma za afya.

17. Uwezo wa Kuendesha Mabadiliko: Uwezo wa kuongoza mabadiliko katika mifumo ya afya.

18. Ushirikiano na Sekta Binafsi: Uwezo wa kushirikiana na sekta binafsi.

19. Uelewa wa Mazingira: Uelewa wa jinsi mazingira yanavyoathiri afya.

20. Uthibitisho wa Kujitolea: Dhamira ya dhati ya kuboresha afya ya jamii.

Sifa hizi zitamuwezesha mkurugenzi huyo kukabiliana na changamoto za kiafya na kuboresha huduma za afya barani Afrika.
 
Ila jamaa yetu anajua kinubi tu.
 
Huyo mwamba naye sijui ana connection sana?
Alishawahi kuongelewa kwenye mitandao (ikiwemo JF) kuwa ana elimu ya magumashi kwenye hayo mambo ya moyo. Inasemekana wagonjwa wengi walikufa kwa ubabaishaji wake kuanzia Mbeya hadi Morogoro.
Link ya jf ya huo mjadala
 
Sio kweli. Watu walio objective wanaangalia facts tu. Hayo mambo ya majina labda yako kichwani kwako wewe. Mbona usomi wa Dr Bilali (former VP) au shangazi Fatmah Karume, hautiliwi shaka hata kidogo?
Au tumuulize Solak "Zanzibar-ASP" anaye tupa facts za Le Prof ni mtaliano
 
Link ya jf ya huo mjadala

Nimesoma mpaka mwisho bado sijaelewa mimi kilaza wa mambo ya afya.

Hoja ya mleta mada ingejibiwa kama mgemuhakikishia kuwa kuna uwezekano wa mtu kuwa daktari bingwa mbobezi wa moyo bila kuwa na hiyo Mmed anayolalamikia mleta mada kwamba Prof. Janabi hana.

Anadai kwamba kuna hatua ya MD, kisha hatua ya Mmed kisha ubingwa na ubobezi unafuatia. Je kuna njia ya kuruka Mmed ila ukawa cardiologist?
Kama inawezekana kule Marekani, Japan au hapa nchini mumsaidie mleta mada. Mmojawapo kagusia fellowship, je hii inaweza simama kama mbadala wa Mmed?

cc DR Mambo Jambo

Unafaa kuwa judge kwa jinsi ulivyokuwa neutral na ulivyoweza kudadavua huu mvutano wa makundi mawili.

Kwa uzoefu wangu wa elimu ya afya, ni kweli ni lazima upate specialization ya eneo husika kabla ya kusuperspecialize na hakuna njia mbadala.

Hiyo master of Science tropical health, tena hii wala sio clinical specialization, ni kama Master of Public Health (MPH) ila kaspecialize kwenye tropical health, ni kama MPH- health economic, MPH-behavioural Health Science, MPH- epidermioogy and biostatistics etc.

Ebu turudi Nyuma, tafuta watu wanaitwa Cardiac Surgeon, Tafuta watu wanaoitwa Neonatologist; hawa ni superspecialist ,walianza na MD, then wakaspecialize kwenye Master of Paediatrict (MSc-Paed (paediatrician) or Master of Surgery then wakachukua supecialization ya neontalogy , wengine wakachukua kwenye neorology na wengine cardiac surgery.

Felllowship haijawahi kuwa replica ya specialization (Master of Internal Medicine-MMED) au equivalent to superspecialization kwani fellowship iko limited (limited scope kwenye eneo husika tu) wakati MMED iko exostive na comprehensive katika maeneo yote ya magonjwa ya kawaida ya mwili wa binadamu, fellowship iko focused kwenye eneo husika kwa hiyo huyo mtu atakuwa anamiss maeneo mengi ya magonjwa ya binadamu. Mara nyingi fellowship inafanywa na watu waliokwisha specialize mfano MSc-Paediatric, Msc-Internal Medicine ect au watu waliokwisha pata PhD kwenye eneo husika inakuwa kama Post-Doctoral studies.
 
Huw
Huwezi kufanya fellowship ya kuja kuwa Daktari bingwa wa moyo kama hujawahi kufanya Mmed ya internal medicine. Hiyo ndio standard ya duniani nzima, na ndio standard ya iliyopo MCT mpaka sasa.

Kama huamini, leta status ya MCT yenye kuonyesha Professor Janabi hiyo Fellowship yake imekubalika na MCT.
Fellowship kama hizi za walokole. ?
 
Mtu unajijua kabisa kwamba elimu yako ni unga unga mwana kwa nini usitulie?...kila siku kwenye matelevision ooh moyo ..moyo...kama alikuwa anapenda mambo ya moyo si angesoma tu ..labda kama alikuwa hana vigezo....ona sasa unaanza kuaibika uzeeni...Moyo sio mchezo
 
Attachments

  • VID-20241106-WA0001.mp4
    19.1 MB
Back
Top Bottom