Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Mambo vipi malkia nyukiKwani ulikuwa unatakaje mkuu?
Mlisema mnatoka maandamano ya amani au mmebadilisha gear angani na visu sasa basi msije kulialia humu baadae.Tunatoka Mimi nishanunua kisu Cha kimasai atakayenigusa tu nadumbukiza tumbani kwake aniue tufe wote
WaTanzania sio waoga per se issue ni coordination ndio mbovu, mbona huko nyuma maandamano ya chadema yalifanikiwa sana enzi za Dr Slaa!!Kama historia ndo muongozo wa yanayoweza kutokea huko mbeleni, ukizingatia muktadha, ni kwamba hakutakuwa na maandamano yoyote yale ya maana.
Wanaweza wakaandamana watu wachache sana na katika sehemu chache.
Watanzania sisi bado ni waoga mno.
Najua wengi hawapendi kuusikia huu ukweli.
Sababu kuu ni kwamba ukweli unauma.
Hivyo mtu ukiusema, watu hawapendi kuusikia na wanaishia kukulaumu wewe uliyeusema.
Kusema ukweli si kukatisha watu tamaa.
Badala ya wao kuuchukulia huo ukweli kama motivation, wao wanaishia kukutukana tu.
I love me some naysayers. They are my motivators.
Tunatoka Mimi nishanunua kisu Cha kimasai atakayenigusa tu nadumbukiza tumbani kwake aniue tufe wote
Naona huyu mtu kakujaa akilini mwako, ni nani huyu?Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
WaTanzania hawaandamani kumfurahisha huyo Bangi Kibangi;;p kama unayo shida na yeye usituletee hapa;; nenda kamtafute alipo muyamalize wenyewe. Au pengine ni mtu mliyepanga na Samia kumpoteza kama hawa wengine akina Popole?Kwa tathmini yako, unaona kutakuwa na maandamano ya patashika au ni kelele tu za mtandaoni kisha zinakufa?
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?