Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani mbona km watu mnapata shida sn?
Kwann msisuburi muone itakuaje kuliko kujipa stress za maswali kila siku hapa wakuu
 
Cc: Lamomy Mbaga Jr Yohimbe bark Mufti kuku The Infinity
 
Watanzania wa sasa hivi sio wale wa miaka ya 60 ............freedom is coming tomorrow
 
Nyakati zinabadilika. Usiishi kwa kukalili
 
Ni kweli...
 
1. Ni kukariri. Siyo “kukalili”.

2. Hakuna uongo niliouandika. Kihistoria nilikuwa niko sahihi.

3. Sasa hullabaloo ya nini? Kusoma na kushindwa kuelewa ulichokisoma?
Basi hiyo historia uliyotumia kama rejea ya ubashiri wako imekufelisha. Next time usikariri historia, angalia mwelekeo wa nyakati tulizopo. Mambo yanabadilika
 
Basi hiyo historia uliyotumia kama rejea ya ubashiri wako imekufelisha. Next time usikariri historia, angalia mwelekeo wa nyakati tulizopo. Mambo yanabadilika
Wala sikuwa peke yangu.

Hata nchi jirani nao walikuwa na mtazamo kama wangu.

Hata Watanzania wengi tu nao walikuwa na mtazamo kama wangu.

Hata humu JF walikuwepo watu wengi tu waliokuwa na mtazamo kama wangu.

Kuna hadi mdada mmoja huko kwenye social media aliyeahidi kwamba endapo watu wangeandamana basi angetembea uchi toka Dar hadi Nairobi [something like that].

Hata wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa nao walikuwa na mtazamo kama wangu.

Yote hiyo ni kwa sababu ya historia.

Hivyo, kujifanya kana kwamba duniani kote nilikuwa ni mimi tu ambaye nilionyesha mashaka kuhusu kufanyika kwa hayo maandamano, ni kuonyesha upumbavu tu.

Tofauti yangu na wengi wenu, mimi kwa kadri uhalisia wa mambo unavyobadilika ndo nami ninavyobadilisha mitazamo yangu.

Ila, sitegemei kama mtaelewa.
 
Wewe na hao wenzako wote mmepuyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…