Ni kweli kwamba ukienda kumtolea posa binti wa kisukuma kwao usukumani unapimwa uwezo wa kula chakula kingi?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Habari zenu wakuu

Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga.

Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy mwanaume anaemuoa binti yao,

Je, hii ni kweli? huo msosi heavy ni nini unapewa kwa sahani ngapi ?
 
Well, sio kwamba unapimwa lahasha, Ila ni utaratibu wao na Mila kula chakula kingi . Kwao chapati nane mtu mmoja kawaida. Nyama vipande miambili kupewa ule kwao kawaida tu. Sasa jipange mwenyewe. Pia jiandae kuoga hata kama ulioga ulipotoka
 
Habari zenu wakuu

Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga.

Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy mwanaume anaemuoa binti yao,

Je, hii ni kweli? huo msosi heavy ni nini unapewa kwa sahani ngapi ?
Wee jidanganye.
We nenda na kibunda haswaa tofauti na hivo utaaibika
 
Back
Top Bottom