Kwani wewe ni mvivu wa kula?Habari zenu wakuu
Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga,
Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao unastukizwa na msosi heavy unapimwa kula,
Je hii ni kweli ??
Mi huwa nakula kumalizaKuna kula kushiba na kuna kula kuvimbiwa, vitu viwili tofauti
Wee jidanganye.Habari zenu wakuu
Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga.
Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy mwanaume anaemuoa binti yao,
Je, hii ni kweli? huo msosi heavy ni nini unapewa kwa sahani ngapi ?