Ni kweli kwamba watumishi wasiopitishia mishahara yao benki ya CRDB hawana nafasi ya mikopo katika benki hiyo?

Ni kweli kwamba watumishi wasiopitishia mishahara yao benki ya CRDB hawana nafasi ya mikopo katika benki hiyo?

Lakini watu wengine mna dharau sana! Yaani wakupe mkopo halafu uwe unawapelekea mrejesho kwa cash baada ya kutoa benki B? Wacha dharau bro! Sasa kwa nini usichukue mkopo huko huko unakopitishia mshahara wako?
Watu wanaofanya KAZI serikalini mikopo huwa inakatwa moja Kwa moja toka hazina na kwenda kwenye Benki uliyokopea na huwa inaonyeshwa kwenye salary slip.

Watu kibao wanakopa mabenki tofauti na Yale yanayopokelea mshahala ikiwemo hiyo crdb labda hiyo kulazimisha wawe wameanza katibuni.
 
Back
Top Bottom