Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
- Thread starter
-
- #21
Bawacha ni wing ya kina mama, Lissu anatakiwa asikilize wanachohitaji asiwapelekeshe chama kitamshinda.Sidhani kamq ni kweli, nafikiri wamepishana tu mikakati ya namna BAWACHA inavyotakiwa kuwa
Propaganda,Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Kachaguliwa na nani? Labda kwa sababu shariffa muislam. Na yeye katika safu yake hataki waislam hasa hijabKama hafai ndo hivyo tena.
Ndiyo hivyo sasa.Mimi sio mhakiki, ndio maana nimeleta ujumbe kwa njia ya swali.
Wapi kafanyiwa uhuuni? Mbona unakua kama mjinga kuja na hitimisho kwa maneno ya kusikia tena toka kwa mtu aliye nje ya nchi, umemtafuta huyo mwenyekiti wa Bawacha amekuthibitisha hilo?Lakini kuwa team Mbowe sio sababu ya kufanyiwa uhuni kwenye chama. Lissu yeye ni kiongozi.
HaweziErythrocyte unasemaje juu ya tetesi/tuhuma hizo?
Swali zuri Sana...Hayo maneno ya Ngurumo unayahakiki vipi?
Lisemwalo lipo kwa sababu sharifa ni muislam na lissu akimtaka Simba kwa sababu ya udiniPropaganda,
Ngurumo ni team Mbowe, bado anaweweseka
Mjinga ni anayetaka kufukuza kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia.Wapi kafanyuwa uhuuni? Mbona unakua kama mjinga kuja na hitimisho kwa maneno ya kusikia tena toka kwa mtu aliye nje ya nchi, umemtafita huyo mwenyekiti wa Bawacha amekuthibitisha hilo?
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari.Chawa wa Mbowe bado hawajakubali matokeo, hawajiamini na hawana uhakika kwa yale waliyokuwa wakiyafanya kama watakuwa na nafasi ndani ya uongozi wa Lissu.
Wanajichuku mnoo maana wasiyemtaka kaja.
Mbona Ndugai au Kinana hawakuondolewa kwa sanduku la kura badala yake wakafurushwa juu kwa juu?! Kama hufai hufai hakuna cha sanduku la kuraAsiyefaa ataondolewa kwa sanduku la kura.
Kwa hiyo wewe unakanusha meseji y Ansbert kwa misingi hipi?Ndiyo hivyo sasa.
Habari yako inahitaji uhakiki.
Habari yoyote unayoambiwa ichukulie kwamba si ya kweli mpaka ihakikiwe na kuthibitishwa kuwa ni ya kweli.
Kwa sababu, siku hizi kuna mengi.
Kuna deliberate misinformation, kuna accidental misintepretation.
Mpaka sasa hatujasikia kwa chanzo kingine tofauti na hatujasikia upande wa Tundu Lissu unasemaje.
Chadema ni chama cha kidemokrasia na utaratibu wa kubadilishana uongozi unafahamika.Mbona Ndugai au Kinana hawakuondolewa kwa sanduku la kura badala yake wakafurushwa juu kwa juu?! Kama hufai hufai hakuna cha sanduku la kura
Wewe ndo unamshambulia sana Lissu humu kila siku kwa sababu ya udiniLisemwalo lipo kwa sababu sharifa ni muislam na lissu akimtaka Simba kwa sababu ya udini
Mtazusha kila kitu mwaka huuAnaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Hata mbowe mkiristo. Simshambulii lissu, najenga hoja udhaifu wa lissuWewe ndo unamshambulia sana Lissu humu kila siku kwa sababu ya udini