Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwambie Ngurumo akubaliane na kushindwa kwa Mbowe
 
Lissu mwenyewe hatamaliza kipindi cha uongozi
 
Hapa sio suala la udini. Sharifa ni mmoja wa viongozi waliosema wazi wazi kuwa yeye ni Team Mbowe. Kama hizi shutuma ni za kweli itakuwa ni kwa sababu hiyo na sio dini yake. Ila lugha za visasi hazijaanza leo.

Naibu Katibu Mkuu (Bara) akizungumza lugha hiyo katika hotuba yake ya kwanza. Ni Heche peke yake ndie anayefanya juhudi za wazi kutibu majeraha yaliyotokea baada ya uchaguzi. Huko Twitter wako wanaosema hiyo lugha ya kutibu majeraha hawaijui. Na watu wa Twitter ndio wanaongoza mjadala.

Amandla...
 
Chadema haiendeshwi na 'tweet '.....
 
hata kama hawakuchaguliwa? Ni sawa na serikali ya kidikteta inaposema haitaki kuungukwa na wapinzani
Hapana ila kama anaona hawezi kufanya kazi na wewe ni vizuri ukakaa pembeni mwenyewe kupisha mwingine. Hauwezi kuwa mwenyekiti wa chama halafu hauko ukurasa mmoja na mwenyekiti wa baraza la vijana, hiko hakiwezi kuwa chama. Watu wa chini hasa viongozi wenzio inabidi wawe ukurasa mmoja na wewe na wawe tayari kufuata maelekezo yako 100%
 
Lisi kawaambieni vizuri tu, yeye ni mtu wa haki na hataonea mtu. Nyie mnataka kuleta chokochoko tu zisizo na maana.

Lissu hana muda huo.
 
Kwahiyo unataka tujadili maneno yako wewe na ngurumo badala ya Sharifa?
 
Mwenyekiti BAWACHA amechaguliwa, hajateuliwa. Lissu amechaguliwa, hajateuliwa. Iweje useme kama Lissu hataki kufanya kazi na mtu, basi mtu huyo akae pembeni? Kwa nini Lissu ndio asikae pembeni ili huyo mtu afanye kazi na wengine?
 
πŸ•πŸ•πŸ•
 
Mwenyekiti wa chama lazima azungukwe na watu alio comfortable kufanya nao kazi katika ngazi zote.

munajita wana decomaricia lakini munasapoti ummwizaji wa democrasia inapokuwa upande wenu
 

hivyo vyeo ni vya kuchaguliwa kwa kura na sio vya teuzi.
 
Ngrumo anampenda Mbowe zaidi kuliko CHADEMA.

Kama Sharifa aliingia kwa mizengwe na kuvunja haki, uchaguzi urudiwe tu, kwani shida nini?

Tena ikibidi uchaguzi urudiwe kanda zote na kote ambako mizengwe ilifanyika.

na wa lissu pia urudiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…