GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Realboynicky

Senior Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
166
Reaction score
311
Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa.

Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa CHADEMA kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la CCM tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
 
Wengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Aisee basi sawa
 
1000091280.jpg
 
Leta hoja acha kuongea kama mjinga mjinga tu. Lissu ndio mpinzani wa kweli anaye waumiza kichwa kila siku .kama una hoja leta nitakujibu
 
Wengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Acha kudanganya watu wewe dudumizi. Hoja yako mfu inalenga kuwachonganisha wana CDM, Lissu na slogan ya No reform No erection. It is an old and fake propaganda strategy! Treni iko mafuta Tena kwenye mteremko!
 
Wengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Mtajua hamjui sisi tumewabananisha wahuni wa mapangoni hadi kieleweke tupo on the right truck
 
Wengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano (shamba darasa)
 
Back
Top Bottom