Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Wewe sitakiwi kuona comment yako !!!Naomba nikublock kabisaWengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni