Kama propaganda nyingine ausio!
Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa.
Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa CHADEMA kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la CCM tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Tofauti ya kichwa cha mtoa mada na Mavi ni nncha tu😂😂Kuna shingo zinateseka asee. Imagine shingo iliyobeba hiki kichwa.