Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 166
- 311
Aisee basi sawaWengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Kama ni Chawa huna faida kwa aliyekutuma. Tumia ili uweze kuwadanganya watu hata kwa siku Moja basi. DuuhWewe ni mhuni mjinga na mpumbavu sana tena huna hata akili ndogo ya kudanganya watu. Zero strategy
Ndo umekuja na Id nyingine ili ujiokoe na upuuzi wako wa kitoto. Au ndo Team Chawa wa kupitosha UmmaNawengi wanafikiri yupo jela kumbe yupo hotelini akila vinono
Leta hoja acha kuongea kama mjinga mjinga tu. Lissu ndio mpinzani wa kweli anaye waumiza kichwa kila siku .kama una hoja leta nitakujibuWengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Acha kudanganya watu wewe dudumizi. Hoja yako mfu inalenga kuwachonganisha wana CDM, Lissu na slogan ya No reform No erection. It is an old and fake propaganda strategy! Treni iko mafuta Tena kwenye mteremko!Wengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
Mtajua hamjui sisi tumewabananisha wahuni wa mapangoni hadi kieleweke tupo on the right truckWengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
CCM ni kusanyiko la wajinga tupuKwa IQ za bongo sishangai uwezo wa mtoa mada, unaweza kushangaa ni DC huyu anaongoza kenge wengine! Tunahitaji brain overhaul for sure
Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano (shamba darasa)Wengi wanadhani kwamba lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi huu na Kuwatoa chadema kwenye uchaguzi haswa wa wabunge na kuruhusu kurejea kwa bunge la ndio mzee la ccm tupu. Na baada ya uchaguzi kwisha watamtoa gerezani arudi zake Belgium. Shtukeni
🤓🤓Reasoning ya kujitaharisha kuharisha km bata..!!