GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema ni matapeli fulani hivi.
 
Unailaumu Cdm kwa tatizo la Ccm ?!
Ulitaka Cdm washike mtutu au ?!
 
Si kweli, wewe upuuzwe.
 
Ndiyo na taarifa zilizopo kule gerezani ana chumba special kila kitu ndani na kuna gari maalum huwa inaenda kumchukua na kumrudisha mara nyingi halali gerezani.

Nyumbu wa chadema kaungana na majizi ya Ccm kuhadaa wananchi
 
Matako kabisa ww, tulia sindano ikuingie
 
Kapimwe akili na marinda
 
Mkuu umekula lakini?Maana kinachoongea ni tumbo siyo kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…