Ni kweli majeshi ya NATO yako Ukraine na Silaha za NATO zinatumika Ukraine?

Ni kweli majeshi ya NATO yako Ukraine na Silaha za NATO zinatumika Ukraine?

Sasa ukijenga hoja kwamba utajiwe series na model za silaha za NATO nani anafuatilia matoleo ya silaha za kisasa kama hayupo kwenye medani za kijeshi? Vita haichagui silaha za kisasa au za kizamani, kila upande unataka ushindi hata kwa kutumia fimbo na marungu. We huoni nchi za NATO zinayojifaragua kuwa zinatuma msaada ukraine?
Si mnadai kuwa NATO anawapa Ukraine silaha zake. Tutajieni basi ni silaha zipi?
 
Si mnadai kuwa NATO anawapa Ukraine silaha zake. Tutajieni basi ni silaha zipi?
[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2642682
IMG_3awuub.jpg
 
Nichukue nafasi hii ku declare interest kwamba mimi ni pro russia na ni shabiki wa Putin kindakindaki nikujibu tu kwa kifupi ili tusitumie muda watu bure, kwanza kwanamna ulivyouleta uzi ni kana kwamba hujawahi kuwa na masikio wala macho tangu kuzaliwa kwako hivyo nakujibu kama ifuatavyo:

1. Ukraine haijawahi pokea silaha aina yoyote kutoka NATO

2. Ukraine haijawahi kuwa na kikao chochote na nchi za NATO
3. Ukraine haijawahi pokea aina yoyote ya msaada kutoka nchi za NATO
4. Urusi haijawahi kupambana na silaha yoyote kutoka NATO

5. Hata ile drone iliyokuwa na tani 1.5 ya vilipuzi iliyodondoshwa na fighter jets za urusi pale Black sea ilitoka kwa Alliens

6. Hakuna cha Stoltenberg,
Ursula hata Guteres aliyewahi itisha kikao cha NATO kuzungumzia vita ya Ukraine

7. Hata vikwazo urusi huwa inajifaragua haijawahi wekewa na nchi za NATO

8. Nadhani utakuwa umeridhika
Kama ni marks mwalimu angekupa negative 100 (-100%) maama kukupa zero (0%) angekupendelea sana.

1. Inaelekea hujui kuwa NATO ni entity na ina mkuu wake na hierarchy ya NATO huijui
2. Inaelekea hujui namna gani NATO ina operate.

3. Inaelekea hujui tofauti ya NATO na German or USA.

4. Inaelekea hujui wajibu wa nchi wanachama kwa NATO.

Kama kitu hukijui bora ukae kimya kuliko kijiaibisha kwa kujifanya much know ili hali hujui kitu.
 
Mkuu una moyo, hongera ila huyu ilikuwa asijibiwe anatujaribu tu, uzi kma hiu ungeletewa mwezi wa 3 mwaka jana siyo saa hizi ambapo misaada kwa Ukrain na vikao na matamko kwa nchi wafadhili havijawa siri tena.
Unajua,sometimes I think,labda mtu ni mjinga tu and new to JF ambaye anahitaji elimu, so kama nimeshajibu mtu kitu hicho hicho,I copy and paste,modify slightly to fit his/her question than namtumia.Sio mbaya,kama ananijaribu to hell with him.
 
Tangu majeshi ya Russia yavamie Ukraine kumekuwa na tuhuma nyingi kutoka kwa Putin na Pro Russia kuwa majeshi ya NATO yamepelekwa Ukraine kupigana. Tuhuma hizo zimeenda mbali zaidi na kusema kuwa NATO inapeleka vifaa vyake vya kivita Ukraine. Rais Putin kila anapoongea na taifa amekuwa akidai kuwa wanapigana na NATO.

Watu wengi wanaofahamu vifaa vya kijeshi vinavyotumiwa na NATO vyenye Technology ya kisasa ikiwemo ndege za kivita, mifumo ya ulinzi wa anga (Air defense systems), vifaru (Tanks), silaha za kurusha mizinga (Artillery systems), silaha za kurusha makombora/Roketi (MLRS) n.k. wamekuwa wakisema kuwa hakuna silaha za kivita zinazotumiwa na NATO ambazo zimepelekwa Ukraine.

Propaganda za Russia/Putin zinapelekea watu wengi ambao hawajui na hawajawahi kuona silaha za kivita kuamini kuwa madai ya Russia yana ukweli. Pro Russia wengi wa huko Tanzania hawajui silaha za kivita zaidi ya magobole, SMG, mabomu ya machozi na magari ya washawasha yanayotumiwa na jeshi la polisi kupambana na machinga na wafuasi wa nyama vya upinzani.

Hata silaha zenye Technologies ya kisasa zinazotumika kupigana, kujilinda na upelelezi hawazijui. Lakini wamekuwa mabingwa wa kubisha kila kitu kwa ushabiki kama wa yanga na simba ya huko nyumbani.

Kwa kuwa Pro Russia wanaamini propaganda za Russia na hasa Putin, naomba watueleze machache tu ili tuweze kujua kama kweli wanaufahamu wa kutosha kuhusu silaha nzito zinazotumika Ukraine kujibu mapigo kwa Russia ambazo wanadai kuwa ni za NATO.

1. Je, ni silaha zipi za kulinda usalama wa anga (Air defense systems) ambazo unajua zinatumika Ukraine ambazo ni za NATO. ? Tutajia aina ya silaha na model plus series yake.

2. Je, ni silaha zipi za kurusha makombora ya masafa marefu (MLRS) na aina ya makombora ambayo yanatumiwa na majeshi ya NATO nchini Ukraine?. Taja aina, model na series yake.

3. Je, ni aina gani ya ndege za kivita zinazotumiwa na NATO ambazo zinatumika Ukraine na aina ya makombora yanayorushwa na ndege? Taja aina ya ndege, model na series yake.

4. Je, ni aina gani ya vifaru (Tanks) zinazotumika Ukraine ambazo zinatumiwa na NATO na zimepelekwa Ukraine?. Taja aina ya kifaru, model na series yake.

Naomba hoja hizi zijibiwe kwa facts siyo porojo na propaganda ili tujue kama kweli wanaosema hivo wanaelewa au wanaogelea kwenye Propaganda za Putin na pro Russia.

Uzi huu unaweza ukawa wa moto kwa wasio na hoja na waliozoea porojo na matusi.

Karibuni
Unalipwa bei gani mkuu,,!?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa bahati mbaya hutapata majibu. Watakuja na viroja sio hoja wengi ni wapiga kelele tu humu.
Ni watupu lakini wanakuja kujianika kutujulisha level yao ya uelewa. Uzi umewazidi kimo ndo maana wanapiga porojo tu.
 
Sikuamini kuona hii post JF,hasa kwa sababu ya taarifa zilizozagaa kwenye vyombo vya habari vyote:Main Stream Media na Independent Media, kuhusu silaha za NATO zinazokuwa poured into Ukraine including Millitary Advicers and mercenaries from the US and Europe.

Mkuu of late F-16s have been pledged to Ukraine,ingawa naamini bado hazijakuwa delivered,ingawa training of pilots inaendelea.Nisiseme mengi,taarifa inayofuata,tena ya BBC,speaks it all.
Wewe ndugu yangu sijui ndio leo umekuja duniani from the pit of hell sielewi.Nikama umeibuka kutoka usingizini hiviii....!

Nimalizie kwa kukutaarifu kwamba NATO is in Ukraine full throttle,mbona sio siri.Infact if it wasn't for Russias' millitary might,surely Russia would have fallen already.

Tatizo lenu ninyi watu wa Marekani mnasikiliza local channels tu za Marekani,wanaficha taarifa authentic msijue uovu wa Serikali ya Marekani in Ukraine and across the World.Wake up guys,tafuteni taarifa authentic sio fake News za CNN,Fox,CNBC nk.
Ama kweli kazi ipo. Kujifanya unajua wakati hujui ni kujiaibisha mbele za kadamnasi. Mtu anayejua NATO Arsenals atakuwa amekudharau sana.

Kwa kukusaidia tu ni kwamba F-16s is no longer NATO Arsenal. NATO inatumia F-35 series. Kulikuwa na version nyingi kabla ya F-35s e.g. F-35, F-35A ..... F-35C. Pengine hujui hata series zingine ambazo baada ya F-16s NATO alizitumia kabla ya F-35 series.

Kiufupi NATO haitumii F-16s,

Ushauri. Jaribu kuficha ujinga wako mbele ya kadamnasi
 
Nichukue nafasi hii ku declare interest kwamba mimi ni pro russia na ni shabiki wa Putin kindakindaki nikujibu tu kwa kifupi ili tusitumie muda watu bure, kwanza kwanamna ulivyouleta uzi ni kana kwamba hujawahi kuwa na masikio wala macho tangu kuzaliwa kwako hivyo nakujibu kama ifuatavyo:

1. Ukraine haijawahi pokea silaha aina yoyote kutoka NATO

2. Ukraine haijawahi kuwa na kikao chochote na nchi za NATO
3. Ukraine haijawahi pokea aina yoyote ya msaada kutoka nchi za NATO
4. Urusi haijawahi kupambana na silaha yoyote kutoka NATO

5. Hata ile drone iliyokuwa na tani 1.5 ya vilipuzi iliyodondoshwa na fighter jets za urusi pale Black sea ilitoka kwa Alliens

6. Hakuna cha Stoltenberg,
Ursula hata Guteres aliyewahi itisha kikao cha NATO kuzungumzia vita ya Ukraine

7. Hata vikwazo urusi huwa inajifaragua haijawahi wekewa na nchi za NATO

8. Nadhani utakuwa umeridhika
Safi.Asije akatuambukiza umirembe.
 
Pumbavu ktk ubora wako. Na ongera sana kwa kujua silaha za kivita kuliko wabongo wote
Unazidi kututhibitishia level ya upumbavu na ujinga ulio nao. Huu uzi siyo size yako. Siyo uzi wa kuvamiwa na mapoyoyo kama wewe.
 
Mkuu una moyo, hongera ila huyu ilikuwa asijibiwe anatujaribu tu, uzi kma hiu ungeletewa mwezi wa 3 mwaka jana siyo saa hizi ambapo misaada kwa Ukrain na vikao na matamko kwa nchi wafadhili havijawa siri tena.
Kwa kuwa unaelewa vizuri jibu sasa maswali yangu.
 
Sikuamini kuona hii post JF,hasa kwa sababu ya taarifa zilizozagaa kwenye vyombo vya habari vyote:Main Stream Media na Independent Media, kuhusu silaha za NATO zinazokuwa poured into Ukraine including Millitary Advicers and mercenaries from the US and Europe.

Mkuu of late F-16s have been pledged to Ukraine,ingawa naamini bado hazijakuwa delivered,ingawa training of pilots inaendelea.Nisiseme mengi,taarifa inayofuata,tena ya BBC,speaks it all.
Wewe ndugu yangu sijui ndio leo umekuja duniani from the pit of hell sielewi.Nikama umeibuka kutoka usingizini hiviii....!

Nimalizie kwa kukutaarifu kwamba NATO is in Ukraine full throttle,mbona sio siri.Infact if it wasn't for Russias' millitary might,surely Russia would have fallen already.

Tatizo lenu ninyi watu wa Marekani mnasikiliza local channels tu za Marekani,wanaficha taarifa authentic msijue uovu wa Serikali ya Marekani in Ukraine and across the World.Wake up guys,tafuteni taarifa authentic sio fake News za CNN,Fox,CNBC nk.
Kwa pointi hii napenda kutoa wito kwa waheshimiwa Mod's watukufu wa jf kuufunga huu mjadala unaodhalilisha maana ya fikra pevu.
 
HIMARS
Challenger 2 tanks, Leopard tanks, Abram tanks...
1. Challenger II series ipi. Na je hiyo series bado ni NATO Arsenal?

2. Leopard tank series ipi?. Na je ni series ambayo inatumiwa na NATO au iko among the NATO arsenals

3. Abram tank. Series ipi na je ni NATO arsenal

Hebu tupe facts ili pro Russia wajifunze. Ukinipa majibu sahihi nitakupa darasa zaidi.
 
1. Challenger II series ipi. Na je hiyo series bado ni NATO Arsenal?

2. Leopard tank series ipi?. Na je ni series ambayo inatumiwa na NATO au iko among the N arsenals

3. Abram tank. Series ipi na je ni NATO arsenal

Hebu tupe facts ili pro Russia wajifunze. Ukinipa majibu sahihi nitakupa darasa zaidi.
We jamaa utakuwa muha kwa maana umeambiwa Ukraine amepokea msaada wa vifaru kutoka nchi wanachama wa NATO,, vifaru vyenyewe ni Leopard 2, challenge 2, na abraham,, lkn wewe unataka utajiwe series,, sasa wasiwasi wangu ukitajiwa series utataka utajiwe mpaka dereva
 
Unajua,sometimes I think,labda mtu ni mjinga tu and new to JF ambaye anahitaji elimu, so kama nimeshajibu mtu kitu hicho hicho,I copy and paste,modify slightly to fit his/her question than namtumia.Sio mbaya,kama ananijaribu to hell with him.
Wanaojua wanakuona "Your too low to respond to this thread."

Na wasiojua wanakuona bonge la mtu unayejua mambo kumbe hujui kabisa.

Ushauri wangu usikurupuke kujibu kitu usichokijua. Unajidhalilisha kwa wanaojua.
 
1. Challenger II series ipi. Na je hiyo series bado ni NATO Arsenal?

2. Leopard tank series ipi?. Na je ni series ambayo inatumiwa na NATO au iko among the NATO arsenals

3. Abram tank. Series ipi na je ni NATO arsenal

Hebu tupe facts ili pro Russia wajifunze. Ukinipa majibu sahihi nitakupa darasa zaidi.
Hizo Abram na leopard tanks zipo kizazi cha 4 ambazo ndio zinatumika na nato.

ila hata hizo kizazi cha pili walizopewa Ukraine bado zipo ndio maana wamezitoa na spare parts zake wanazo.

T14 Armata
 
We jamaa utakuwa muha kwa maana umeambiwa Ukraine amepokea msaada wa vifaru kutoka nchi wanachama wa NATO,, vifaru vyenyewe ni Leopard 2, challenge 2, na abraham,, lkn wewe unataka utajiwe series,, sasa wasiwasi wangu ukitajiwa series utataka utajiwe mpaka dereva
Waliotoa hizo Leopard na challenger wamezitaja hizo series siyo kitu cha siri. Tunaojua NATO Arsenals they are not among of them.

German & USA hawajawa na kiwango cha ujinga kiasi hicho cha kutoa silaha zenye technology ambayo NATO wanatumia. Ndiyo maana Putin anaiogopa sana NATO sababu anajua walicho nacho.
 
Back
Top Bottom