- Thread starter
- #141
Ama kweli. Bora ukose pesa kuliko kukosa maarifa.Huyo ni mweupe amekariri majina ya silaha, nimemwambia nato ni treaty, nchi inapo declare war na nato member wenzie watakuja kumpa nguvu na silaha watakazotumia ni hizo hizo tanks na silaha nyingine zinzokwenda Ukraine, alivyo juha amekomaa eti nato wao wanatumia f35 series na modern arsenals kwamba za zamani hawatumii😂, NATO haina silaha wenye silaha ni nchi wanachama, NATO ni treaty organization tu, mleta mada haijui NATO.
Hii ni aibu ya karne. Tumewashauri kila mara kuwa ficheni ujinga wenu. Mnajidhalilisha kabisa