Hakuna kifaru hata kimoja kilichopo kwenye inventory ya NATO kimeenda Ukraine. Zile ni silaha ziko mothballed kwenye reserve na uzuri NATO wanatunza vizuri silaha zao, hata Gepard SPAAG ya Ujerumani ilikuwa ishaondolewa kwenye matumizi miaka mingi tu ila Ukraine kapewa na zinafanya kazi vizuri.
Canada ana Leopards zinapigwa vumbi na hazitumii tena, Marekani ana F-16 blocks za kwanza hatumii, Gepard ana Leopards 1 zaidi ya 100 zimestaafishwa na jana Rheinmetall wamesema waliongeza speed ya refurbishment hivyo Ujerumani ikiruhusu zitafika mapema.
Vifaru vya Urusi vinavyohesabiwa kwenye jeshi vikiwa reserve nje kwenye nyasi
View attachment 2642749
View attachment 2642750
Vifaru vya Leopard 1 ambavyo havihesabiki kwenye jeshi vikiwa vimetupwa ndani ya ghala uko Ubelgiji
View attachment 2642752Bado vya Ujerumani na nchi nyingine nyingi. Kinachoongezeka ni gharama za optics, kurekebisha fuel filters, pumps na vitu kadhaa ambavyo Russia wanafanya ila kutokana na dump environment na wizi wa vifaa vikiwa storage Russia wanatumia nguvu nyingi mno