Ni kweli majeshi ya NATO yako Ukraine na Silaha za NATO zinatumika Ukraine?

Hizo Abram na leopard tanks zipo kizazi cha 4 ambazo ndio zinatumika na nato.

ila hata hizo kizazi cha pili walizopewa Ukraine bado zipo ndio maana wamezitoa na spare parts zake wanazo.

T14 Armata
Tutajie hatutaki porojo na maelezo marefu. Tell us the models of Leopard and Challenger tanks which are NATO Arsenal delivered to Ukraine.
 
Tutajie hatutaki porojo na maelezo marefu. Tell us the models of Leopard and Challenger tanks which are NATO Arsenal
Model wanazijua wahusika mkuu..
 
Shukrani sana mkuu ila umesahau kitu kimoja cha muhimu sana ambacho ni Secretary General wa NATO aliye wahi kutamka adhalani kwamba Urusi ikishinda vita Ukraine, basi NATO itaabika sana sana kwa hiyo NATO itatoa kila aina ya msaada wa kivita: sijui alikuwa anamaanisha nini? Msaada wa sijui silaha ili kuhakikisha Urusi inashindwa au alinamaanisha kwamba NATO wapo radhi kuingia vitani ili wapambane ana kwa ana na Urusi - hivi sasa operation hizo NATO wanazifanya kwa kujificha ficha nyuma ya Ukraine - hata Kinzhal ikichimbua 400ft undeground concrete bunkers na kuwatoa pumzi baadi ya majenerali wa Amerika, UK na Poland - habari hizo wanazificha sana maanake ndio walikuwa wanategemewa sana na US/NATO na Ukraine kupanga na kuratibu mpango kabambe wa Counter offesive ya Ukraine dhidi ya jeshi la Urusi, juzi juzi hapa Urusi tena imerudia mbinu zake za kulipua bohari za silaha including depleted Uranium shells na storm shadow cruise missiles baada ya kupewa habari za kintelijensia silaha hizo zilipo fichwa, kama sikose an under ground command and controll center nyingine nayo ilishambuliwa na high ranking officers wa jeshi kutoka Merikani, UK, Poland na Ujerumani and other ranks kupoteza maisha.

Bottom line is: any level headed person knows kwamba US,UK and for some strange reasons hata Ujerumani hiko involved kwenye vita hiii latently - NATO wasipo jirudi wakaendelaa kuchochea vita hii kichini chini badala ya kutanguliza usuruhishi na muhafaka wa vita - vita hii inaweza kabisa kusababisa WW3 kwa makusudi au kwa bahati mbaya - kumbukeni kwamba WW zote zilianzia Ulaya.

Kwa maneno mafupi niliyo sema hata kipofu/kiziwi anajua ni nani hasa ni the brains behind this on going turmoil, mtamlahumu Putin kutokana na Propoganda zilizo andaliwa na media za west zenye lengo la kujaribu ku-demonise Putin na Urusi na ikiwezekana kuyafanya mataifa mengi Duniani yamchukie Putin bila sababu, fatilia kwa karibu hotuba za Biden, ulaghai mtupu!! Cha ajabu katika vita hii Amerika,UK na Ujerumani wamefungia media zote za Urusi nadhani na China - US haoyaki Duniania ielezwe kinacjo enfelea kwenye viya ya Uktaine.

Biden yupo tayari kumpatia Zelensky hata mabom/missiles za kinyuklia mradi aishinde Urusi - wendawazimu wake utaiangamiza Dunia nawambieni, si mtu mzuri hata kidogo.
 
Hizo Abram na leopard tanks zipo kizazi cha 4 ambazo ndio zinatumika na nato.

ila hata hizo kizazi cha pili walizopewa Ukraine bado zipo ndio maana wamezitoa na spare parts zake wanazo.

T14 Armata
Hakuna kifaru hata kimoja kilichopo kwenye inventory ya NATO kimeenda Ukraine. Zile ni silaha ziko mothballed kwenye reserve na uzuri NATO wanatunza vizuri silaha zao, hata Gepard SPAAG ya Ujerumani ilikuwa ishaondolewa kwenye matumizi miaka mingi tu ila Ukraine kapewa na zinafanya kazi vizuri.

Canada ana Leopards zinapigwa vumbi na hazitumii tena, Marekani ana F-16 blocks za kwanza hatumii, Gepard ana Leopards 1 zaidi ya 100 zimestaafishwa na jana Rheinmetall wamesema waliongeza speed ya refurbishment hivyo Ujerumani ikiruhusu zitafika mapema.

Vifaru vya Urusi vinavyohesabiwa kwenye jeshi vikiwa reserve nje kwenye nyasi


Vifaru vya Leopard 1 ambavyo havihesabiki kwenye jeshi vikiwa vimetupwa ndani ya ghala uko UbelgijiBado vya Ujerumani na nchi nyingine nyingi. Kinachoongezeka ni gharama za optics, kurekebisha fuel filters, pumps na vitu kadhaa ambavyo Russia wanafanya ila kutokana na dump environment na wizi wa vifaa vikiwa storage Russia wanatumia nguvu nyingi mno
 
Umetoa maelezo mengiiii. Umejibu swali lipi? Maana uko nje ya mada kabisa. Hebu tupe majibu ya maswali yetu kwanza.

Au umejitungia mtihani na kujibu mwenyewe.
 
Mkuu mbona sijasema NATO wanatumia F-16 read between the lines properly,nimesema F-16s zinapelekwa Ukraine!And how stupid of NATO,unapeleka a fourth generation aircraft ikapambane na 5th & 6th generation aircraft ya Urusi!Anyway I hope you are now out of the bottomless pit of knowledge and you now know that the US,NATO and the West in general is directly involved in the Russia-Ukraine war,but using Ukraine as a proxy.
 
Wewe uzi huu ni size yako na unaweza kuumudu.

Watu wengi hasa Pro Russia hawajui kuwa silaha anazopewa Ukraine ni za siku nyingi sana. Nchi wanachama wa NATO ni kama wanaenda kuzi dump Ukraine. Ndo maana baadhi ya nchi zinasema zinawapa Ukraine na ku replenish kwa silaha za kisasa.

Mtu anasema eti Ukraine kapewa Leopard tanks za NATO ni kichekesho.

Leopard zilizotolewa nyingi ni Leopard 1A5 & 1A6 na chache Leopard 2A1 na Leopard 2A2. Ni tanks za zamani sana ambazo nchi wanachama wanazo na walishazili replenish na Tanks zingine za kisasa.

Kwa msiojua Leopard 2 ina series kuanzia 2, 2A1 ..... 2A7 na 2A7+
NATO inventory ina Leopard 2A7 na 2A7+

Same applied to Challenger 2 Tanks, they have several series and now they have designed Challenger 3 which is expected to be in production by 2027.
 
Wanaojua wanakuona "Your too low to respond to this thread."

Na wasiojua wanakuona bonge la mtu unayejua mambo kumbe hujui kabisa.

Ushauri wangu usikurupuke kujibu kitu usichokijua. Unajidhalilisha kwa wanaojua.
I hate people without facts,na wewe lete facts,mbona mimi nimekuletea facts?Empty rhetoric haisaidii ssna,lete facts watu wajifunze.Unacho onyesha wewe sasa ni chuki ambayo haisaidii.

Ila ukweli utabaki kwamba najua,otherwise wasingenitaka ni-respond.
 
NATO akiingia hutaona ndege za Urusi zikiruka
Kama Russia alipotupiwa zigo na Rais Zelenskyy kwamba kapiga ndani ya Poland.
Putin mwenyewe alikanusha kwa nguvu hakutaka kuwachia kukanusha waziri wake wa mambo ya nje na viongozi wa kijeshi. Viongozi wengi wa Russia walitumia nguvu sana kukanusha kuwa siyo Russia ni Ukraine ndo imepiga.

Walikanusha kwa nguvu zote hii ni kwa sababu wanaiogopa sana NATO.

Mzee Biden aliposema kuwa ni Air Defense ya Ukraine ndo imerusha hilo kombora. Waziri wa Mambo ya nje wa Russia alimshukuru Biden kwa kusema ukweli. Kitu ambacho hakikutarajiwa kauli ya kumshukuru Biden itolewe na Russia.
 

Sijapata picha vizuri kwa nini umeleta hii post,lakini jifunze hapa,nadhani utapata kitu.

 
NATO = USA
 
Duuuu, hii inaitwa mtu kuruka na kukanyaga kinyesi chake. Bonge la U-turn.

Siyo wewe uliyesema F-16s iko mbioni kupelekwa Ukraine na NATO na kwamba wako kwenye training. Na kwa dharau ukaandika kejeli juu yangu kwenye para ya mwisho na pili kutoka mwisho kwamba nimekuja leo duniani na kwamba sijui chochote.!!!!!

Narudia tena kukushauri. Kama jambo hulijui bora ukae kimya kuliko kuonyesha level ya uelewa wako ilivyo ndogo.

Jifunze kutoka kwa watu badala ya kujifanya much know.
 
Kama hukujua kwa nini nimeleta huu uzi basi ungekaa kimya kuliko kujifanya unajua na kumwona mtu aliyetoa hoja ni mjinga.

Watu wanaojua nilichouliza wamekudharau sana maana umeonyesha kuwa hujui zaidi ya kupiga propaganda wakati sisi tunataka facts.
 
Hivi Zelensky naye ni Rais!!!!!!!Cocaine pusher,stripper,Drag Queen nk.?Na Biden,eti "Mzee Biden," huyu huyu Biden ambaye ana Dimentia,ana make speeches by using a teleprompter,anasahau hata alipo na Zombie wa NWO,ambaye ana run a crime syndicate in Ukraine na mwanae Hunter! Rais wa nchi atajihusishaje na such obvious crime.Mambo mengine frankly ni "only made in America."
 
Pole sana
 
Sasa F-16s kupelekwa Ukraine ina maana NATO wanazitumia!Wewe nawe una Dimentia kama Rais wako Biden,you are not worth arguing with me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…