Ni kweli majeshi ya NATO yako Ukraine na Silaha za NATO zinatumika Ukraine?

T-14 Armata ikikamilika kabla ya 2025 nitajiita mjinga. Hawana uwezo huo tangu 2015 wanatuonyesha kwenye parade kasoro mwaka huu. Kwanza inaweza ikawa cancelled kwani silaha ngapi zinapigwa chini na zinafufuka miaka mingi baadae.
Ila Kuna kipindi iliripotiwa zimetumika kwenye offensive kwenye baadhi ya maeneo ya mashariki, sio kwamba hazipo kabisa ila zipo chache tu.

Ila zile SU-57 hazijaonekana kabisa angani toka huu mzozo ushamiri, hizi zingetumika na zile SU's generation kwenye SEAD huenda tungekuwa tunaongea mengine sasa.
 
Hadi leo hakuna mwanachama wa NATO aliyeshambuliwa ila Russia anashambuliwa ndani ya mipaka yake
 
Marekani alitumia Siku 14 tu kuharibu miundombinu yote ya anga Baghdad ( Baghdad ndo ilikuwa na ulinzi wa anga mwingi kuliko sehemu yoyote duniani kwa wakati ule)
Huyu hata kuteka airport alishindwa
 
Huyo ni mweupe amekariri majina ya silaha, nimemwambia nato ni treaty, nchi inapo declare war na nato member wenzie watakuja kumpa nguvu na silaha watakazotumia ni hizo hizo tanks na silaha nyingine zinzokwenda Ukraine, alivyo juha amekomaa eti nato wao wanatumia f35 series na modern arsenals kwamba za zamani hawatumii😂, NATO haina silaha wenye silaha ni nchi wanachama, NATO ni treaty organization tu, mleta mada haijui NATO.
 
Uko sahihi mkuu,NATO(North Atlantic Treaty Organization or North Atlantic Alliance) ni treaty na organization.Wameji-organize waka-sign treaty ambayo inawa-bind kusaidiana incase of a military threat against any of them,so NATO as NATO haina standing army au silaha,inategemea nchi wanachama.Man on boots or millitary hardware inakuwa sourced kukiwa na hitaji from members,just as they are doing now.Hii ina maana kwamba kila member wa NATO anatoa alicho nacho,anazo Mig-29s anatoa,F-16s anatoa,hivyoo.Yeah,jamaa yupo mtupu sana,ila ubishiii.....,moto!
 
Hilo ni popoma, anafikiri watu wajinga humu, hio link inaeleza na mwandishi anaijua vyema NATO.
 
Mkuu ingekuwa NATO wapo Ukraine fully tayari nchi ya Urusi ingelikuwa ni jangwa
 
Mkuu ingekuwa NATO wapo Ukraine fully tayari nchi ya Urusi ingelikuwa ni jangwa
NATO haina huo uwezo, awe full na Russia itakua full, mbona Libya walikuja wanaogopa nini kwenda Russia.
 
NATO haina huo uwezo, awe full na Russia itakua full, mbona Libya walikuja wanaogopa nini kwenda Russia.
Wewe huna ujualo., Libya unalinganishaje na kuvamiwa russia., US wanaangalia kumdhoofisha russia kiuchumi zaidi bila ya kutokea vita ya 3 ya dunia na sasa tayari hali inaelekea huko
 
Kipo wazi ndo ueleze au kuonesha na sisi tujue , ndo hoja ya jamaa
Hana lolote analolijua zaidi ya matusi. Ukitaka kujua ni mapoyoyo hakuna aliyejibu hayo maswali. They know nothing.
 
Story haina consistent kabisa. Story ya kuunga unga. Mara F-16s hapo hapo PM wa poland azungumzie Patriot kuwa Destroyed Ukraine. Labda mtu awe poyoyo ndo atakubaliana na story ya kuunga unga ambayo inakosa mtiririko.

1. Tumwamini nani kati ya propagandist aliyeandika na mwenye nchi Rais Duda. Mimi nayemwamini ni Rais Duda.

2. Let us assume the story is Ok na kwamba iwe kweli hawatoi F-16s kwa sababu zilizosemwa. Ni wapi kwenye maelezo haya pameandikwa kuwa F-16s ni NATO arsenal na zinatolewa na NATO?. Nchi wanachama wa NATO wana F-16s lakini F-16s siyo silaha inayotumiwa na majeshi ya NATO. Inaelekea hujui kilichoandikwa labda pengine hata english hujui.

3. Bado narudia kusema kuwa hamuelewi tofauti ya NATO na NATO allies. Poland ni mwanachama wa NATO (NATO allies). NATO ni taasisi (organization) na poland ni nchi iliyo na haki za kumsaidia rafiki yoyoye. Nitakupa mfano ili uelewe maana vichwa vyenu ni vigumu. Tanzania ni mwanachana wa EAC. Tanzania kuisaidia Msumbiji haina maana kuwa Tanzania ndo itakuwa EAC.
 
Ubishi wa kijinga huu,I do not have time for it.
 
Hadi leo hakuna mwanachama wa NATO aliyeshambuliwa ila Russia anashambuliwa ndani ya mipaka yake
Russia atathubutu kurusha hata bomu kwa wanachama wa NATO. Kwani yeye hajui nguvu ya NATO.
 
Kweli wewe nì poyoyo usiyejua chochote kuhusu NATO. Kwa akili yako NATO haina military Bases, wanajeshi wala silaha.

Kumbe tunahangaika na mtu mjinga
 
Na leo MoD wa Uingeleza kasema kuwa Ukraine wataweza rudisha Crimea mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…