Huyo ni mweupe amekariri majina ya silaha, nimemwambia nato ni treaty, nchi inapo declare war na nato member wenzie watakuja kumpa nguvu na silaha watakazotumia ni hizo hizo tanks na silaha nyingine zinzokwenda Ukraine, alivyo juha amekomaa eti nato wao wanatumia f35 series na modern arsenals kwamba za zamani hawatumii😂, NATO haina silaha wenye silaha ni nchi wanachama, NATO ni treaty organization tu, mleta mada haijui NATO.