Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
640
Reaction score
1,517
NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli.

1. Mkoa wa Dar es Salaam
2.Mkoa wa Pwani
3.Mkoa wa Morogoro
4.Mkoa wa Kilimanjaro
5. Mkoa wa Tanga
6.Mkoa wa Manyara
7.Mkoa wa Singida
8.Mkoa wa Dodoma
9.Mkoa wa Tabora
10.Mkoa wa Kigoma
11.Mkoa wa Songwe
12.Mkoa wa Rukwa
13.Mkoa wa Katavi
14.Mkoa wa LIndi
15.Mkoa wa Mtwara
16.Mkoa wa Ruvuma
17.Mkoa wa Kagera
18.Mkoa wa Mwanza
19.Mkoa wa Shinyanga
20.Mkoa wa Simiyu
21.Mkoa wa Mara
22.Mkoa wa Iringa
23.Mkoa wa Njombe

Kwenye hiyo mikoa fuatilia Makatibu wa Mikoa, Katibu wa Wazazi Mkoa, Katibu wa UWT Mkoa, Katika wa Uvccm Mkoa, Katibu wa CCM Wilaya, Katibu wa Vijana Wilaya, Katibu wa Wazazi Wilaya, Katibu wa UWT Wilaya alafu tufanye uchambuzi wa kina kama ni kweli viongozi wengi wa CCM ni dini fulani?
 
Utafiti rasmi utashangaa na kushtuka ,utafikiri ni baraza la Ulamaa.
 
Acha udini wewe kiumbe
 
Utaishia hapohapo au tarudi nyuma tangia enzi za mchongoa meno?
 
Wanapigiwa kura au wanajiteua??

Ilikuwaje ukafanya tafiti bila kuuliza hili ? Je wenyeviti je? ...na wao dini hiyo hiyo??
Wanahusika kuteua wagombea ubunge
 
Mimi yeyote awae hata akiwa atheist kwa sababu hata walipokuwepo tunaofanana dini na kabila hakuna hata mara moja waliniletea mkate mezani.

Dini mnazipigia chapuo tu kudhani wote tunafanana but mind you hao hatufanani nao kwa lolote na wanatuchukulia makoro tu wa kutuibia
 
NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli.

1. Mkoa wa Dar es Salaam
2.Mkoa wa Pwani
3.Mkoa wa Morogoro
4.Mkoa wa Kilimanjaro
5. Mkoa wa Tanga
6.Mkoa wa Manyara
7.Mkoa wa Singida
8.Mkoa wa Dodoma
9.Mkoa wa Tabora
10.Mkoa wa Kigoma
11.Mkoa wa Songwe
12.Mkoa wa Rukwa
13.Mkoa wa Katavi
14.Mkoa wa LIndi
15.Mkoa wa Mtwara
16.Mkoa wa Ruvuma
17.Mkoa wa Kagera
18.Mkoa wa Mwanza
19.Mkoa wa Shinyanga
20.Mkoa wa Simiyu
21.Mkoa wa Mara
22.Mkoa wa Iringa
23.Mkoa wa Njombe

Kwenye hiyo mikoa fuatilia Makatibu wa Mikoa, Katibu wa Wazazi Mkoa, Katibu wa UWT Mkoa, Katika wa Uvccm Mkoa, Katibu wa CCM Wilaya, Katibu wa Vijana Wilaya, Katibu wa Wazazi Wilaya, Katibu wa UWT Wilaya alafu tufanye uchambuzi wa kina kama ni kweli viongozi wengi wa CCM ni dini fulani?

Kula.kwanza Chuma hiki
20250719_181310.jpg
 
Nadhani ilikuwa hivyo toka zamani. Sema tu kuna namna mtu anashambiliwa.
 
Mimi yeyote awae hata akiwa atheist kwa sababu hata walipokuwepo tunaofanana dini na kabila hakuna hata mara waliniletea mkate mezani.

Dini mnazipigia chapuo tu kudhani wote tunafanana but mind you hao hatufanani nao kwa lolote na wanatuchukulia makoro tu wa kutuibia
Akili za makaaa hizii

And nadhani madhara huwezi kuona kwa sasa baadaye ndio utakuja kushtuka wakiti ushapigwa za uso.

Mwisho tumia akili kuona mbali acha kuwa bwege bora liende
 
NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli.

1. Mkoa wa Dar es Salaam
2.Mkoa wa Pwani
3.Mkoa wa Morogoro
4.Mkoa wa Kilimanjaro
5. Mkoa wa Tanga
6.Mkoa wa Manyara
7.Mkoa wa Singida
8.Mkoa wa Dodoma
9.Mkoa wa Tabora
10.Mkoa wa Kigoma
11.Mkoa wa Songwe
12.Mkoa wa Rukwa
13.Mkoa wa Katavi
14.Mkoa wa LIndi
15.Mkoa wa Mtwara
16.Mkoa wa Ruvuma
17.Mkoa wa Kagera
18.Mkoa wa Mwanza
19.Mkoa wa Shinyanga
20.Mkoa wa Simiyu
21.Mkoa wa Mara
22.Mkoa wa Iringa
23.Mkoa wa Njombe

Kwenye hiyo mikoa fuatilia Makatibu wa Mikoa, Katibu wa Wazazi Mkoa, Katibu wa UWT Mkoa, Katika wa Uvccm Mkoa, Katibu wa CCM Wilaya, Katibu wa Vijana Wilaya, Katibu wa Wazazi Wilaya, Katibu wa UWT Wilaya alafu tufanye uchambuzi wa kina kama ni kweli viongozi wengi wa CCM ni dini fulani?
Kichwa pumbu
Bichwa limejaa mavi tu
Unaweza vitu vya kipumbavupumbavu
Hata udini unahitaji elimu na akili lakini huu ni upumbavu
 
Back
Top Bottom