GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,361
- 5,628
Ngozi ntwysi kwenye dini utadhani ndio tuliazisha sisi hizi dini.Acha udini wewe kiumbe
Ngozi ntwysi kwenye dini utadhani ndio tuliazisha sisi hizi dini.Acha udini wewe kiumbe
Jaribu kupunguza:Je tetesi hizo ni za kweli au laa
😂Kama wehu aisee... Huu ndo msingi wa upotevu wetu. Tulivuliwa tukabaki watupu saizi tunagombania nguo za kuazimaNgozi ntwysi kwenye dini utadhani ndio tuliazisha sisi hizi dini.
Watu wengi hata hizo dini zenyewe ni majina tu,ukimuona kanisani au msikitini sio hofu ya Mungu ni mambo yake tu ya kiduniaNIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli.
1. Mkoa wa Dar es Salaam
2.Mkoa wa Pwani
3.Mkoa wa Morogoro
4.Mkoa wa Kilimanjaro
5. Mkoa wa Tanga
6.Mkoa wa Manyara
7.Mkoa wa Singida
8.Mkoa wa Dodoma
9.Mkoa wa Tabora
10.Mkoa wa Kigoma
11.Mkoa wa Songwe
12.Mkoa wa Rukwa
13.Mkoa wa Katavi
14.Mkoa wa LIndi
15.Mkoa wa Mtwara
16.Mkoa wa Ruvuma
17.Mkoa wa Kagera
18.Mkoa wa Mwanza
19.Mkoa wa Shinyanga
20.Mkoa wa Simiyu
21.Mkoa wa Mara
22.Mkoa wa Iringa
23.Mkoa wa Njombe
Kwenye hiyo mikoa fuatilia Makatibu wa Mikoa, Katibu wa Wazazi Mkoa, Katibu wa UWT Mkoa, Katika wa Uvccm Mkoa, Katibu wa CCM Wilaya, Katibu wa Vijana Wilaya, Katibu wa Wazazi Wilaya, Katibu wa UWT Wilaya alafu tufanye uchambuzi wa kina kama ni kweli viongozi wengi wa CCM ni dini fulani?
Halafu watakuja hapa kubishaUtafiti rasmi utashangaa na kushtuka ,utafikiri ni baraza la Ulamaa.
Ni kweli ni wazee wa mnyaaaziNIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli.
1. Mkoa wa Dar es Salaam
2.Mkoa wa Pwani
3.Mkoa wa Morogoro
4.Mkoa wa Kilimanjaro
5. Mkoa wa Tanga
6.Mkoa wa Manyara
7.Mkoa wa Singida
8.Mkoa wa Dodoma
9.Mkoa wa Tabora
10.Mkoa wa Kigoma
11.Mkoa wa Songwe
12.Mkoa wa Rukwa
13.Mkoa wa Katavi
14.Mkoa wa LIndi
15.Mkoa wa Mtwara
16.Mkoa wa Ruvuma
17.Mkoa wa Kagera
18.Mkoa wa Mwanza
19.Mkoa wa Shinyanga
20.Mkoa wa Simiyu
21.Mkoa wa Mara
22.Mkoa wa Iringa
23.Mkoa wa Njombe
Kwenye hiyo mikoa fuatilia Makatibu wa Mikoa, Katibu wa Wazazi Mkoa, Katibu wa UWT Mkoa, Katika wa Uvccm Mkoa, Katibu wa CCM Wilaya, Katibu wa Vijana Wilaya, Katibu wa Wazazi Wilaya, Katibu wa UWT Wilaya alafu tufanye uchambuzi wa kina kama ni kweli viongozi wengi wa CCM ni dini fulani?
Ngoja wenye chama chao waseme kwanzaNIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli.
1. Mkoa wa Dar es Salaam
2.Mkoa wa Pwani
3.Mkoa wa Morogoro
4.Mkoa wa Kilimanjaro
5. Mkoa wa Tanga
6.Mkoa wa Manyara
7.Mkoa wa Singida
8.Mkoa wa Dodoma
9.Mkoa wa Tabora
10.Mkoa wa Kigoma
11.Mkoa wa Songwe
12.Mkoa wa Rukwa
13.Mkoa wa Katavi
14.Mkoa wa LIndi
15.Mkoa wa Mtwara
16.Mkoa wa Ruvuma
17.Mkoa wa Kagera
18.Mkoa wa Mwanza
19.Mkoa wa Shinyanga
20.Mkoa wa Simiyu
21.Mkoa wa Mara
22.Mkoa wa Iringa
23.Mkoa wa Njombe
Kwenye hiyo mikoa fuatilia Makatibu wa Mikoa, Katibu wa Wazazi Mkoa, Katibu wa UWT Mkoa, Katika wa Uvccm Mkoa, Katibu wa CCM Wilaya, Katibu wa Vijana Wilaya, Katibu wa Wazazi Wilaya, Katibu wa UWT Wilaya alafu tufanye uchambuzi wa kina kama ni kweli viongozi wengi wa CCM ni dini fulani?
Ungejibu hata mstari mmoja tu badala ya kutukana ungeonekana wa maana zaidi yake.Kichwa pumbu
Bichwa limejaa mavi tu
Unaweza vitu vya kipumbavupumbavu
Hata udini unahitaji elimu na akili lakini huu ni upumbavu
AnahasiraUngejibu hata mstari mmoja tu badala ya kutukana ungeonekana wa maana zaidi yake.
Hakuna kupigiwa kura wewe bwege chini ya samia ni kupigiwa simu tuWanapigiwa kura au wanajiteua??
Ilikuwaje ukafanya tafiti bila kuuliza hili ? Je wenyeviti je? ...na wao dini hiyo hiyo??
Huu mstari mkali😂Hakuna kupiguwa kura wewe wewebwege chini ya samia ni kupigiwa simu tu
na wamefanya kitu kibaya sana hadi imekuwa rasmi kwamba Happy ni wa dini fulani na Husna ni wa dini fulani - - - mambo ya ajabu sanaWatu wengi hata hizo dini zenyewe ni majina tu,ukimuona kanisani au msikitini sio hofu ya Mungu ni mambo yake tu ya kidunia
Lakini linapokuja swala la maslahi ndio utajua kama ni jina tu au la, Si unaona lile baraza?Watu wengi hata hizo dini zenyewe ni majina tu,ukimuona kanisani au msikitini sio hofu ya Mungu ni mambo yake tu ya kidunia
Lucas MwashambwaHili sio jibu...wao makatibu wanapatikanaje??
mkoa uliopo utafiti unasemaje ngazi ya wilaya na mkoa
Upumbavu kama huu alioleta unatakiwa kujibiwa hivyoUngejibu hata mstari mmoja tu badala ya kutukana ungeonekana wa maana zaidi yake.
Huteuliwa siyo wanateuliwa,wanateuliwa ni wakati uliopoWanateuliwa
Yaani huu umavimavi alioleta hapa hata mtoto wa miaka 7 anajua ni upumbavuKureason kunahitaji akili pia.
Tutaenda na kwenye teuzi zingine serikalini au tutaishia ukatibu wa CCM tu?Halafu watakuja hapa kubisha
Wanateuliwa na Mwenyekiti na kuthibitishwa na NEC.Hili sio jibu...wao makatibu wanapatikanaje??