Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

Watu wengi hata hizo dini zenyewe ni majina tu,ukimuona kanisani au msikitini sio hofu ya Mungu ni mambo yake tu ya kidunia
 
Ni kweli ni wazee wa mnyaaazi
 
Ngoja wenye chama chao waseme kwanza
 
Kichwa pumbu
Bichwa limejaa mavi tu
Unaweza vitu vya kipumbavupumbavu
Hata udini unahitaji elimu na akili lakini huu ni upumbavu
Ungejibu hata mstari mmoja tu badala ya kutukana ungeonekana wa maana zaidi yake.
 
Wanapigiwa kura au wanajiteua??

Ilikuwaje ukafanya tafiti bila kuuliza hili ? Je wenyeviti je? ...na wao dini hiyo hiyo??
Hakuna kupigiwa kura wewe bwege chini ya samia ni kupigiwa simu tu
 
Watu wengi hata hizo dini zenyewe ni majina tu,ukimuona kanisani au msikitini sio hofu ya Mungu ni mambo yake tu ya kidunia
na wamefanya kitu kibaya sana hadi imekuwa rasmi kwamba Happy ni wa dini fulani na Husna ni wa dini fulani - - - mambo ya ajabu sana
 
Watu wengi hata hizo dini zenyewe ni majina tu,ukimuona kanisani au msikitini sio hofu ya Mungu ni mambo yake tu ya kidunia
Lakini linapokuja swala la maslahi ndio utajua kama ni jina tu au la, Si unaona lile baraza?
 
Ungejibu hata mstari mmoja tu badala ya kutukana ungeonekana wa maana zaidi yake.
Upumbavu kama huu alioleta unatakiwa kujibiwa hivyo
Wewe unadhani nini dhumuni la huu upuuzi alioleta hapa?
Kwanini asingeuliza viwango vya elimu vya hao anaotaka kujua na kauliza dini zao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…