Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

CCM haiangalii dini ya mtu ili kumpa uongozi, bali inaangalia uwezo, sifa na weledi wake katika kutimiza majukumu yake.

Miaka ya sabini, pale Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Wakuu wa vitengo kwa asilimia 90% walikuwa Wahaya. Na waliteuliwa kwa sifa zao na sio ukabila wao. Hata Mwl. Nyerere alilizungumzia hilo. Je, iliondoa ubora wa hicho chuo?
 
Kichwa pumbu
Bichwa limejaa mavi tu
Unaweza vitu vya kipumbavupumbavu
Hata udini unahitaji elimu na akili lakini huu ni upumbavu
Nadhani ilikuwa hivyo toka zamani. Sema tu kuna namna mtu anashambiliwa.
Kwa hiyo hivyo ni vyeo kwa ajili ya watu fulani wenye mrengo fulani?
 
Vp wakuu wa mikoa na wilaya ni WA dini hiyo fulani??
 
Kwa hiyo hivyo ni vyeo kwa ajili ya watu fulani wenye mrengo fulani?
Kwanini hamuulizi safu yote ya uongozi wa chadema tujue ni dini gani?
Na kama wewe ni ccm, weka hapa dini za mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya tuone tu majina yao inatosha
 
Nchi hii waislamu ni 70 % utake usitakeView attachment 3411510
Umedanganywa ukadanganyika.Hakuna ushahidi wa kihistoria wala kiakiolojia kudhihirisha hiyo sumu uliyomezeshwa.Isitoshe blood line ya hao ukifuatilia genealogy wapo na si waislamu na hawamjui allah.
Muhammad wa watu alijitungia haka ka uongo kuonesha relevancy yake kwamba na yeye yuko kwenye prophetic lineage ili kupata relevancy.
Apart from islamic sources there's no factual evidence to support your claims
 
List nzima ya makatibu hii hapa bonyeza link


Hii Orodha ya majina ya walioteuliwa kuwa Makatibu Wakuu wa CCM (mikoa na wilaya)
 
Watu wamejiPanga, taratibu kwa miaka kadhaa, kimya kimya; halafu mstuko unakuja sasa!

Lakini ni jambo jema kwamba haya mambo sasa yamekuwa wazi. Tuanzie haPa kulinusuru taifa letu lisiangukie kwenye majanga.
Imefika wakati sasa wa kufuata taratibu za kuangalia sifa za mtu katika nafasi fulani, badala ya vigezo vya uPendeleo wa aina nyingine yoyote.
 
Kichwa pumbu
Bichwa limejaa mavi tu
Unaweza vitu vya kipumbavupumbavu
Hata udini unahitaji elimu na akili lakini huu ni upumbavu
Utakuwa umemkomesha kabisa huyo!
Ila hujajibu hoja; kama ni kweli au siyo kweli.
Sasa, tahadhari, usije ukaniParamia kama ulivyofanya na huyo.
 
tiache huu uchochezi,lakini mnajua kuwa samia ndie aliyempa mtu katibu mkuu wa ccm,mtu ambae sio muislamu?
 
Kwa hiyo hivyo ni vyeo kwa ajili ya watu fulani wenye mrengo fulani?
Hapana. Sema tu watu fulani wenye mlengo fulani hawako sana kwenye siasa upande wa chama. Wako huwa wako kwenye nyadhifa za utumishi serikalini. Nadhani ni interests tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…