Ni kweli Makonda ndiye ameamua kumchagua Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania?

robinson crusoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
842
Reaction score
1,425
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.

Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanzania!!!!!!!!!!!
 
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.

Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
 
Sioni kama ni kweli. Kama Mtaka ndo alikuwa mshindi angesikika akitoa milio. Lakini ukimywa wake unaonesha kuwa amesingizwa kuwa mshindi wakati si mshindi. Mpaka sijasikia ambaye anasemwa kuwa ndiye mshindi akipinga jambo hilo. Kura moja ni kubwa pia so msimbagaze mshindi. Brother wangu Pascal Mayalla aliwahi pata kura moja sema tu walimbania asiende mbele. Nlimwambia ashukuru alipata hata hiyo moja. Kuna wenzie waliwahi pata Negative 100. Yaani walikosa kura mpaka wakaanza kudaiwa.
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
October 29, Samia alikuwa Dodoma lkn alishinda mikoa yote Kwa asilimia 98/%.
Umbali sio tija kwenye dunia ya leo
 
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.

Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
AIseee hata kama kupendelea huko kumezidi ,yaani mtu amepata kura 1 ya kwakwe mwenyewe halafu ndiyo amechaguliwa?
 
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.

Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
yeye ndio waziri wa hiyo wizara na amekaa kimyaa kama hasikii hayo malalamiko, hii nchi asee
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
Na wewe bora ujikalie kimya ulee wajukuu.
 
Back
Top Bottom