M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Uwaziri kaupataje tuanzie
Uwaziri kaupataje tuanzie
Ondoa Ujinga wako hapa wewe. Yaani habari inazungumzia Mheshimiwa Makonda halafu wewe unaanza kumuhusisha Mheshimiwa Rais. Huna akili kabisa wewe. Embu nenda kafie mbele huko. Kwani uchaguzi ulifanyikia hapa jukwaani?
Kwa yule mwenye kujua tabia za Makonda, haimpi shida kujua. Visa ban ya Makonda si kwa ajili ya LGBTQ, Sasa wewe ni wakili halafu upo ill informed. Soma vizuri barua ya Secretary of State, Mike Pompeo. Ilimsema wazi kuwa Makonda alihusika na upotevu wa maisha ya watu (Wananchi). Haikusema upotevu wa maisha ulitokana na LGBTQ au kwenye upande mwingine(Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hata kama upotevu wa maisha ulitokana na LGBTQ, Makonda alikuwa na uhalali wa kupoteza maisha ya watu???? Hivi umepeleka wapi akili zako? Kwa hiyo hata kama watu ni LGBTQ, Makonda ana haki ya kuwaua. C'mon Paskali sijui ufikiri wako upoje?) Paskali, unaelewa Kiingereza? Wewe kama unavyosema ni wakili (Ingawa siwezi kukuajiri kama wakili, kwa sababu ya mizaha mizaha mingi, naona kama haupo qualified, sorry to tell you this) unajua unapaswa usome neno mistari kwa mistari. WATU WENGI WALIOPOTEA AU KUTEKWA HAWAKUWA LGBTQ, Unataka kusema Nape alikuwa gay?, Roma alikuwa gay? Lissu aliyepigwa risasi 17 alikuwa gay? Rafiki yangu alidakwa na Makonda (Akiwa mkuu wa mkoa wa Arusha)mbele ya BOT, akapelekwa hapo central, na akaonywa kuwa akiendelea kuandika habari za RC-Arusha ambazo hazimpendezi (Ubovu wa barabara, rushwa, ukosefu wa maji etc) atachinjwa....Sasa unahitaji ushahidi gani? Kwa hiyo hadi leo huamini kuwa Sativa hakutekwa akapelekwa Central police Arusha kabla ya kupelekwa Katavi na kupigwa risasi ya kidevu? Makonda amekuwa implicated kwenye vitu vingi, toka uvamizi wa TV studio (Au na hilo, unahitaji ushahidi?), upotevu wa Roma Mkatoliki na wenzake, upigwaji risasi wa Lissu (Unategemea uchunguzi ufanyike kwenye hilo?). Wewe una akili za kujua yote hayo ila kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe, unajifanya kipofu. ACHA UJINGA PASKALI MAYALLA.Duh maneno makali hadi yanachoma!,asante kwa ushauri,nayaheshimu mawazo yako japo sikubaliani nayo,tusiwahukumu watu kwa hisia,tuwahukumu kwa facts!
Ile US visa ban yake ni issues za LGBT!
Magufuli aachwe apumzike,yuko kwa Baba yake,yuko na Baba yake!Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Calling spade a spade, this is hundred percent hitting a center core. Hitting the center truth and the most vital.Kwa yule mwenye kujua tabia za Makonda, haimpi shida kujua. Visa ban ya Makonda si kwa ajili ya LGBTQ, Sasa wewe ni wakili halafu upo ill informed. Soma vizuri barua ya Secretary of State, Mike Pompeo. Ilimsema wazi kuwa Makonda alihusika na upotevu wa maisha ya watu (Wananchi). Haikusema upotevu wa maisha ulitokana na LGBTQ au kwenye upande mwingine(Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hata kama upotevu wa maisha ulitokana na LGBTQ, Makonda alikuwa na uhalali wa kupoteza maisha ya watu???? Hivi umepeleka wapi akili zako? Kwa hiyo hata kama watu ni LGBTQ, Makonda ana haki ya kuwaua. C'mon Paskali sijui ufikiri wako upoje?) Paskali, unaelewa Kiingereza? Wewe kama unavyosema ni wakili (Ingawa siwezi kukuajiri kama wakili, kwa sababu ya mizaha mizaha mingi, naona kama haupo qualified, sorry to tell you this) unajua unapaswa usome neno mistari kwa mistari. WATU WENGI WALIOPOTEA AU KUTEKWA HAWAKUWA LGBTQ, Unataka kusema Nape alikuwa gay?, Roma alikuwa gay? Lissu aliyepigwa risasi 17 alikuwa gay? Rafiki yangu alidakwa na Makonda (Akiwa mkuu wa mkoa wa Arusha)mbele ya BOT, akapelekwa hapo central, na akaonywa kuwa akiendelea kuandika habari za RC-Arusha ambazo hazimpendezi (Ubovu wa barabara, rushwa, ukosefu wa maji etc) atachinjwa....Sasa unahitaji ushahidi gani? Kwa hiyo hadi leo huamini kuwa Sativa hakutekwa akapelekwa Central police Arusha kabla ya kupelekwa Katavi na kupigwa risasi ya kidevu? Makonda amekuwa implicated kwenye vitu vingi, toka uvamizi wa TV studio (Au na hilo, unahitaji ushahidi?), upotevu wa Roma Mkatoliki na wenzake, upigwaji risasi wa Lissu (Unategemea uchunguzi ufanyike kwenye hilo?). Wewe una akili za kujua yote hayo ila kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe, unajifanya kipofu. ACHA UJINGA PASKALI MAYALLA.
Mkuu Fidi Masha, field marshall1 duh...!, japo umejoin jf, 2017, posti yako hii, inanikumbusha ile JF ya 2006, nondo kama ulizoshusha hapa, tulikuwa tunaita kumkoma nyani giladi!, yaani hapa unamkoma mwana jf mwenzako giladi huku unamwangalia usoni!Kwa yule mwenye kujua tabia za Makonda, haimpi shida kujua. Visa ban ya Makonda si kwa ajili ya LGBTQ, Sasa wewe ni wakili halafu upo ill informed. Soma vizuri barua ya Secretary of State, Mike Pompeo. Ilimsema wazi kuwa Makonda alihusika na upotevu wa maisha ya watu (Wananchi). Haikusema upotevu wa maisha ulitokana na LGBTQ au kwenye upande mwingine(Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hata kama upotevu wa maisha ulitokana na LGBTQ, Makonda alikuwa na uhalali wa kupoteza maisha ya watu???? Hivi umepeleka wapi akili zako? Kwa hiyo hata kama watu ni LGBTQ, Makonda ana haki ya kuwaua. C'mon Paskali sijui ufikiri wako upoje?) Paskali, unaelewa Kiingereza? Wewe kama unavyosema ni wakili (Ingawa siwezi kukuajiri kama wakili, kwa sababu ya mizaha mizaha mingi, naona kama haupo qualified, sorry to tell you this) unajua unapaswa usome neno mistari kwa mistari. WATU WENGI WALIOPOTEA AU KUTEKWA HAWAKUWA LGBTQ, Unataka kusema Nape alikuwa gay?, Roma alikuwa gay? Lissu aliyepigwa risasi 17 alikuwa gay? Rafiki yangu alidakwa na Makonda (Akiwa mkuu wa mkoa wa Arusha)mbele ya BOT, akapelekwa hapo central, na akaonywa kuwa akiendelea kuandika habari za RC-Arusha ambazo hazimpendezi (Ubovu wa barabara, rushwa, ukosefu wa maji etc) atachinjwa....Sasa unahitaji ushahidi gani? Kwa hiyo hadi leo huamini kuwa Sativa hakutekwa akapelekwa Central police Arusha kabla ya kupelekwa Katavi na kupigwa risasi ya kidevu? Makonda amekuwa implicated kwenye vitu vingi, toka uvamizi wa TV studio (Au na hilo, unahitaji ushahidi?), upotevu wa Roma Mkatoliki na wenzake, upigwaji risasi wa Lissu (Unategemea uchunguzi ufanyike kwenye hilo?). Wewe una akili za kujua yote hayo ila kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe, unajifanya kipofu. ACHA UJINGA PASKALI MAYALLA.
We all know kuwa hakuna mtu mwenye guts za kumfanya chochote Makonda(ndani ya TZ) hata pawe na ushahidi wa wazi dhidi yake, sanasana ni kujitafutia kupotezwa tu. Unaposema(unapodai) watu wanamuonea wivu Makonda hizo ni fikra zako tu(sadly ni fikra za kitoto), you can't prove kuwa anaonewa wivu.Mkuu Fidi Masha, field marshall1 duh...!, japo umejoin jf, 2017, posti yako hii, inanikumbusha ile JF ya 2006, nondo kama ulizoshusha hapa, tulikuwa tunaita kumkoma nyani giladi!, yaani hapa unamkoma mwana jf mwenzako giladi huku unamwangalia usoni!
Naomba nisijujibu kitu, ila niheshimu maoni yako likiwemo hilo la incompetent, mimi nilisoma enzi za UPE, hivyo kingereza changu ni tia maji tia maji, na kuhusu mtu kuwa qualified, hatua ya kwanza ni kusomea hicho kitu, hivyo sheria nimesoma tena sio tuu kusoma sheria, bali kusomea chuo bora cha sheria number 1 EAC, UDSM, na LL.B yangu ni LL.B Hons), ukimaliza unakwenda LST, ndipo unapewa uwakili, hivyo interms of paper qualifications, I'm qualified, ila mtu kuwa qualified with paper qualification is one thing, na kuwa competent on that field is quite another, ili mtu uwe competent ni lazima u practice, mimi sija practice kabisa, hivyo you are very right on my competence!.
Hayo yote ya Mhe Makonda, ukiondoa uvamizi wa Clouds TV na US Visa ban, the rest yote unayosema ni hearsay, kama una ushahidi upeleke kunakohusika hatua zichukuliwe!.
Huyu dogo ni mti wenye matunda, na yote haya yanatokana na Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni hivyo watu wanamuonea vivu na kijicho
Hata mimi nimesoma degree ya kwanza UDSM, na nyingine kwingineko. Ninajua weakness ya vyuo vyetu as compared na huko kwingineko duniani. Labda nimekutaja mwenyewe (It could be a mistake to go more steps and crossing a red line, which can be possibly a person attack) lakini nataka nisiende huko, nimevuka mstari pengine kwa bahati mbaya. Masuala ya nchi ya TZ hayahitaji ushahidi, circumstantial evidence can be enough to prosecute anyone. Wewe unajua kabisa kwa Tanzania, hakuna litakaloendelea kiuchunguzi ikiwa watawala wanahusika, kabla hujasahau, October 29 mwaka jana, wameuawa maelfu ya vijana, siyo vijana tu, bali hata wazee, akina mama na watoto wadogo wa miaka 9 na kurudi chini......Nakuuliza na naomba nijibu "Hao ni threat kwa serikali ya Samia? HAO WATOTO WALITAKA KUPINDUA NCHI???????? Naomba nijibu wewe kada usiyejali.Mkuu Fidi Masha, field marshall1 duh...!, japo umejoin jf, 2017, posti yako hii, inanikumbusha ile JF ya 2006, nondo kama ulizoshusha hapa, tulikuwa tunaita kumkoma nyani giladi!, yaani hapa unamkoma mwana jf mwenzako giladi huku unamwangalia usoni!
Naomba nisijujibu kitu, ila niheshimu maoni yako likiwemo hilo la incompetent, mimi nilisoma enzi za UPE, hivyo kingereza changu ni tia maji tia maji, na kuhusu mtu kuwa qualified, hatua ya kwanza ni kusomea hicho kitu, hivyo sheria nimesoma tena sio tuu kusoma sheria, bali kusomea chuo bora cha sheria number 1 EAC, UDSM, na LL.B yangu ni LL.B Hons), ukimaliza unakwenda LST, ndipo unapewa uwakili, hivyo interms of paper qualifications, I'm qualified, ila mtu kuwa qualified with paper qualification is one thing, na kuwa competent on that field is quite another, ili mtu uwe competent ni lazima u practice, mimi sija practice kabisa, hivyo you are very right on my competence!.
Hayo yote ya Mhe Makonda, ukiondoa uvamizi wa Clouds TV na US Visa ban, the rest yote unayosema ni hearsay, kama una ushahidi upeleke kunakohusika hatua zichukuliwe!.
Huyu dogo, mimi nasimama naye kwasababu mimi ni miongoni mwa watu tulio mspoti na kumbaini kuwa ana kitu!, enzi akiwa DC, japo yeye mwenyewe hajui, lakini uteuzi wake kuwa RC ulitokana na kauli umba hii Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na ikatokea kweli, jamaa akawa ni ni mti wenye matunda, na yote haya yanatokana na Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni hivyo watu wanamuonea vivu na kijicho!, vita ilianza alipotaja majina ya ma papa wa biashara a ya mihadarati, Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais nikawashauri Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia nikasisisitiza Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze, tena nikawaeleza humu Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Huyu dogo ni mchapakazi Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?. Kufuatia uchapakazi wake, nikashauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! na baada ya JPM kutwaliwa nikauliza Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine? na sasa hapo alipo kama waziri wa habari, ana flop, huyu anatakiwa kupelekwa mambo ya ndani, nchi itanyooka kama enzi za Lyatonga, kisha kumpeleka MFA, kumpatia the required exposure, 2030 ni mwake mwake kitu ndani ya nyumba Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!
P
Hili limeniuma, nimelitolea darasa Miaka 20 ya JF: Wana JF, Tuache Ujinga!Tujifunze Managing Diversity & Practice Political & Opinion Tolerance, Tumepoteza Members Wengi kwa Ujinga Tuu!Labda nimekutaja mwenyewe (It could be a mistake to go more steps and crossing a red line, which can be possibly a person attack) lakini nataka nisiende huko, nimevuka mstari pengine kwa bahati mbaya.
Connection yake ni kwamba huyo jamaa wa Koromije huko Kwimba ambaye hana quality ya kuwa mtu yeyote, mwenye utajiri mkubwa ambao umetokana na upigaji wa pesa za wananchi wa Tanganyika ni waziri wa hiyo wizara husika, Hivyo vyote hivyo unavyoona vinatokea, vinatokea kwa baraka zake. Unashangaa nini......au unajifanya kushangaa. Acha ujinga.Mnashusha sana hadhi na heshima ya jf, kwa vile wakati wa tukio,mtuhimiwwa hakuwepo nchini,whoever anayemtuhumu ni yeye,must prove!,as long as sijaona any connection yake na uchaguzi huo,bado nitaendelea kumtetea.
Niliwahi kushauri watu humu,Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
P
Asante Paskali, Sina nia mbaya na wewe. Hii nchi inatia hasira....Siyo kwangu ila kwa watu wote, tunateseka sana, tunapaswa tupiganie haki zenu. Tukisema ukweli tunaitwa magaidi.....Hivi watanganyika wanaoona haki zao zinavunjwa wakisema ni magaidi kweli, au hao waliouawa hadi watoto wa mwaka mmoja ambao hata hawajui kuandamana ni nini?Hili limeniuma, nimelitolea darasa Miaka 20 ya JF: Wana JF, Tuache Ujinga!Tujifunze Managing Diversity & Practice Political & Opinion Tolerance, Tumepoteza Members Wengi kwa Ujinga Tuu!
Japo wewe hukumalizia, nimeona nia yako ya dhati, na your intention, nimesamehe, hoja zako zote nitazijibu baada ya Saba Saba, nakuahidi, no stone will be left unturned!.
P
Braza! Nadhani huwa una papara sana na michango yako! Unajisikiaje baada ya kuona Mtaka kapewa kuwa Boss wa Olympic wakati aliyetangazwa ni mtu mwingine. Kwamba Makonda hakuwepo wapi? Duniani?Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!
Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.
P
Dah! Naamini unaandika haya ili naye aone unavyomtetea. Labda kwa zawadi yoyote ktk wizara hiyo. Ukweli utabaki kwamba ubora wake uko chini.Mkuu Fidi Masha, field marshall1 duh...!, japo umejoin jf, 2017, posti yako hii, inanikumbusha ile JF ya 2006, nondo kama ulizoshusha hapa, tulikuwa tunaita kumkoma nyani giladi!, yaani hapa unamkoma mwana jf mwenzako giladi huku unamwangalia usoni!
Naomba nisijujibu kitu, ila niheshimu maoni yako likiwemo hilo la incompetent, mimi nilisoma enzi za UPE, hivyo kingereza changu ni tia maji tia maji, na kuhusu mtu kuwa qualified, hatua ya kwanza ni kusomea hicho kitu, hivyo sheria nimesoma tena sio tuu kusoma sheria, bali kusomea chuo bora cha sheria number 1 EAC, UDSM, na LL.B yangu ni LL.B Hons), ukimaliza unakwenda LST, ndipo unapewa uwakili, hivyo interms of paper qualifications, I'm qualified, ila mtu kuwa qualified with paper qualification is one thing, na kuwa competent on that field is quite another, ili mtu uwe competent ni lazima u practice, mimi sija practice kabisa, hivyo you are very right on my competence!.
Hayo yote ya Mhe Makonda, ukiondoa uvamizi wa Clouds TV na US Visa ban, the rest yote unayosema ni hearsay, kama una ushahidi upeleke kunakohusika hatua zichukuliwe!.
Huyu dogo, mimi nasimama naye kwasababu mimi ni miongoni mwa watu tulio mspoti na kumbaini kuwa ana kitu!, enzi akiwa DC, japo yeye mwenyewe hajui, lakini uteuzi wake kuwa RC ulitokana na kauli umba hii Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na ikatokea kweli, jamaa akawa ni ni mti wenye matunda, na yote haya yanatokana na Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni hivyo watu wanamuonea vivu na kijicho!, vita ilianza alipotaja majina ya ma papa wa biashara a ya mihadarati, Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais nikawashauri Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia nikasisisitiza Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze, tena nikawaeleza humu Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Huyu dogo ni mchapakazi Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?. Kufuatia uchapakazi wake, nikashauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! na baada ya JPM kutwaliwa nikauliza Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine? na sasa hapo alipo kama waziri wa habari, ana flop, huyu anatakiwa kupelekwa mambo ya ndani, nchi itanyooka kama enzi za Lyatonga, kisha kumpeleka MFA, kumpatia the required exposure, 2030 ni mwake mwake kitu ndani ya nyumba Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!
P
Correction ya lugha ya watu andika hivi:Nimeziona hizo taarifa,where does Mhe Makonda comes along?.
P