Ni kweli Makonda ndiye ameamua kumchagua Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania?

Ni kweli Makonda Ndo ameamua kuchangua rais wa kamati ya Olympic Tanzania?
Ingawa siungi mkono huo ufedhuli wa kumpoka ushindi mtu na kumpa wa mwisho (aliyeshindwa), ila nawashangaa kwa kulalama leo.

Serikali nzima ipo madarakani kwa mtindo huo huo. Waliiba uchaguzi wote na kuuwa maelfu ya wananchi waliopaza sauti kukemea huo wizi.

Wacha waendelee hivyo hivyo ili siku ya siku wananchi wote kwa ujumla wao wachukue hatua dhidi ya Wahuni
 
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.

Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
Hivi mnalala na wake zenu kweli bila kumtaja Makonda!?
 
Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.
Mkuu,
Anthony Mtaka ni RC, ulitegemea afanye nini?

Serikali yenyewe inapigwa mishale mingi kwa sababu ya uovu wake, RC hawezi kuanzisha taharuki nyingine mpya
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P

Aliyeagiza yafanywe haya October 29 alikua hapo yanapofanyika?
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
Kuwa Ufaransa kunafanya asitoe maelekezo?
Mzee tafuta utetezi mwingine kwa jamaa yako.
 
Ondoa Ujinga wako hapa wewe. Yaani habari inazungumzia Mheshimiwa Makonda halafu wewe unaanza kumuhusisha Mheshimiwa Rais. Huna akili kabisa wewe. Embu nenda kafie mbele huko. Kwani uchaguzi ulifanyikia hapa jukwaani?
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
Umenena ukweli. Mleta mada ana chuki binafsi na Mheshimiwa Makonda
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
Kwa hali ya kawaida kama sio Minister nani angekuwa na uwezo wa kumdhalilisha Mtaka mtu ambaye ni respected.Nilichokiona hapa ni mwendelezo wa akali za kawaida zilizopambwa kutaka kuwa juu ya wenye akili na smart people.Tanzania uchaguzi sio kwa ajili ya kupata viongozi ni kwa ajili ya kuhalalisha michakato
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
Sijajua tatizo lako la kuzidi kuporomoka kwa IQ tena kwa kasi ya 6G chanzo ni nini?!!.Kwamba kuwa Ufaransa kunaweza kuzuia jambo lisifanyike??!
Ukurugenzi wa TBC-CCM huo hawatakupatia hata uwasifie vipi..
 
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!

Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.

P
Mmmmm
 
Dr. Ayub Rioba ni Class mate wangu Ilboru, hivyo wewe utakuwa hukuliona bandiko hili

P
Wenye Olympic yao Duniani wanamtambua Mtaka,wewe na huyo Bashite wako endeleeni kumtambua huyo tapeli Thadeo
 
Attachments

  • 1783663146908.jpg
    1783663146908.jpg
    56.1 KB · Views: 16
hii nchi wizi umeshakuwa kwenye damu..IOC wameshatangaza kumtambua mh Mtaka huko!hivi kweli mnamtangaza mshindi mtu aliyepata kura moja!
 
Wenye Olympic yao Duniani wanamtambua Mtaka,wewe na huyo Bashite wako endeleeni kumtambua huyo tapeli Thadeo
Duh...!, hapo sasa tayari kuna mgogoro!,
Tanzania tuna TOC 2, TOC ya kimataifa inayotambuliwa na IOC inayoongozwa na Mtaka, ambapo serikali yetu haimtambui, na kuna TOC local inayoongozwa na Tadeo, inayotambuliwa na serikali yetu, lakini IOC, hamtambui!.

tatizo limeanzia wapi?
Kama mwanahabari fanya uchunguzi.
 
Duh...!, hapo sasa tayari kuna mgogoro!,
Tanzania tuna TOC 2, TOC ya kimataifa inayotambuliwa na IOC inayoongozwa na Mtaka, ambapo serikali yetu haimtambui, na kuna TOC local inayoongozwa na Tadeo, inayotambuliwa na serikali yetu, lakini IOC, hamtambui!.

P
Tunajenga babel yetu
 
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.

Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
Makonda anaringia sana tako lake
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
 
Back
Top Bottom