robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
kwa CCM mambo mengi hasa ya hovyo hovyo yanawezekana isipokuwa kufufua wafu.Hivi inakuwaje mtu apate kura Moja halafu atangazwe mshindi?
aliyemteuaUwaziri kaupataje tuanzie
Hapo sasaaliyemteua
urais kaupataje ?
Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.
Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
October 29, Samia alikuwa Dodoma lkn alishinda mikoa yote Kwa asilimia 98/%.Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!
Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.
P
Kila kura inafaida mradi uiboreshe.Hivi inakuwaje mtu apate kura Moja halafu atangazwe mshindi?
AIseee hata kama kupendelea huko kumezidi ,yaani mtu amepata kura 1 ya kwakwe mwenyewe halafu ndiyo amechaguliwa?Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.
Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
yeye ndio waziri wa hiyo wizara na amekaa kimyaa kama hasikii hayo malalamiko, hii nchi aseeNimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.
Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki basi Samia hakustahili hata kuwa mjumbe wa taarabu. Idd Amin kwa ubovu wake asingeruhusu waziri awe na tabia za aina hiyo. Yaani Makonda, mtu ambaye hana shule kichwani, sasa anaamua anavyotaka kwa niaba ya nchi ya Tanania!!!!!!!!!!!
Na wewe bora ujikalie kimya ulee wajukuu.Uongo na uzushi mwingine sio tuu haufai bali wala haustahil!,Siku ya uchaguzi,Makonda alikuwa Ufaransa!
Nijuavyo mimi,kila mgombea anakuwa na wakala wake wakati wa kuhesabu kura, haiwezekani aliyetangazwa kushinda alipata kura 1, halafu mshindi halali akae kimya.
P