Ni kweli Makonda ndiye ameamua kumchagua Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania?

Ukweli hujitenga na uongo, ni suala la muda tu.

Inasemekana wenye Olympic Yao wamemtambua mshindi wa halali.

Tunajipa aibu za reja
 
Ukweli hujitenga na uongo, ni suala la muda tu.

Inasemekana wenye Olympic Yao wamemtambua mshindi wa halali.

Tunajipa aibu za rejareja.
 
Unashangaa nini? Mtu aliyeingia kwenye madaraka ya urais kwa kuua, tena bila kupigiwa kura ulitegemea nini kwake? Kweli hili jambo dogo namna hii ndiyo linakushangaza tena? Halafu unauliza kama swali? Pole sana ndugu yetu. You are a very very slow learner. Kweli watu walioingia madarakani kwa kufanya mauaji yale ya 29/10 ndiyo unashangaa kufanya hili? Na hiyo mila urojo inalalamikia nini wakati ndiyo imechimba hili kaburi?
 
NA yy kapewa maagizo
 
Wasukuma wote mna akili za aina moja. Kwani Makonda hawezi kupiga simu? Kwani wakati anatuma watu kumpiga risasi Lissu alikuwa Dodoma, Makonda alikuwa Dodoma? Si alikuwa anapewa taarifa. Wewe unasema aliyeshinda kura moja hawezi kutangazwa......Sasa kwani Kamati ya Olimpiki duniani iseme tofauti na wewe? Kila kitu kipo wazi, but I have noticed now, Mr. Paskali you thinking capabilities is declining fast. Acha ujinga huo Paskali, unajipendekeza mno.
 
Huyo wakala hakukubali, lakini nani anamsikiliza?????? Hivi Paskali upo sawa wewe? Unataka alalamike halafu limtokee, lililomtokea Nape? Makonda (Toto pendwa, hawara ya Samia), unaweza kucheza naye?Watu ikiwemo wewe mnamuogopa mno kupita kiasi, Kamuulize Nape lililompata.......WASUKUMA nyie huwa hamueleweki, tayari mmeshamuambukiza mama wa Kizimkazi.
 
Mkuu unajiharibia wasifu wako.
Kuna ya kutetea mengine waweza kujipaka maji taka.
IOC na ANOCA wote wameongopa au hujasoma taarifa yao juu ya uchaguzi huo?
 
Mkuu unajiharibia wasifu wako.
Kuna ya kutetea mengine waweza kujipaka maji taka.
IOC na ANOCA wote wameongopa au hujasoma taarifa yao juu ya uchaguzi huo?
Nimeziona hizo taarifa,where does Mhe Makonda comes along?.
P
 
Nimeziona hizo taarifa,where does Mhe Makonda comes along?.
P
Who else does have that power of circumventing or to override the TOC's legitimate electoral committee results?
Hata Baraza la michezo wenyewe hawana ujasiri huo bila maelekezo toka juu.
Kwani huyo jamaa akiwa France hawezi fanya mawasiliano na teknolojia yote hii?
 
Mnashusha sana hadhi na heshima ya jf, kwa vile wakati wa tukio,mtuhimiwwa hakuwepo nchini,whoever anayemtuhumu ni yeye,must prove!,as long as sijaona any connection yake na uchaguzi huo,bado nitaendelea kumtetea.

Niliwahi kushauri watu humu,Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

P
 
Nimeziona hizo taarifa,where does Mhe Makonda comes along?.
P
Swali lingine.
Kama yeye waziri mwenye dhamana alichukua hatua gani kuwasiliana na BMT kisha na TOC kutaka maelezo na kutoa amri taratibu za uchaguzi ziheshimiwe na kura ziwe muamuzi wa mwisho wa mshindi ni nani?
Anaweza kuleta ushahidi alitoa directives kabla ya IOC na ANOCA hawajaingilia, za nini kifanyike kulisaidia taifa juu ya aibu hii?
 
Mimi ni Tomaso, bado siamini,aliyepata kura 1, akatangazwa mshindi,huku mshindi halali amekaa kimya!

Nasubiria kuusikia huo uhusika wake
 
Mimi ni Tomaso, bado siamini,aliyepata kura 1, akatangazwa mshindi,huku mshindi halali amekaa kimya!

Nasubiria kuusikia huo uhusika wake
The Citizens pia wanaandika uzushi bila kufuatilia au siyo?
Hiyo habari imechapishwa kwenye makalanyao ya mitandaoni, sijui paperback.
 
Hana shule lakini ana ubavu wa kuwanyuka hadi mkalia nywi nywi nywi!
 
Mkuu watu wanaropoka sana humu bila hata ushahidi,hebu wawekee ushahidi kwamba alikuwa ufaransa na pia hakuna mkono wake kwenye hili ili waaibike
 
Nimeziona hizo taarifa,where does Mhe Makonda comes along?.
P
Makonda ndiye waziri wa habari, na ndiye mhusika kwenye mambo mengi yanayofanyika huku nchini, hivi unamjua Makonda au? Makonda yule aliyeenda na bunduki kwenye TV station baada ya kuacha kutangaza dossier aliyotaka? Wewe ulienda U.S bila shida, mwenzako Makonda uliona barua yake, tumeshangaa hata kwenda Paris aliwezaje, Makonda ni "persona non grata" kwa sababu ya tabia zake. Kuna mambo mengi ameyafanya ambayo ni kinyume na haki za binadamu, hata wanyama hawapaswi kutendewa hivyo. Paskali you owed us, Mmetuletea Magufuli (Rais wa ovyo kutokea hapa nchini kwetu) halafu Makonda, muuaji mkubwa. MNAPASWA MTUOMBE MSAMAHA, kama vile ambavyo SAMIA kitambi anavyopaswa kutuomba msamaha kwa kuua watanganganyika na tunataka awajibike. Sisi hatujali ni nani, tunajali haki tu. Ongea haki Paskali....Do not rumble around, going around the bush and looking for sympathy. UNAKOSEA.....uwe mwanaume, kuwa na msimamo.....Watanganyika hawapaswi kuuawa kwa kuandamana, Lissu hakupaswa kupigwa risasi kwa kumpinga Magufuli bungeni....Ni haki yake ya msingi. Kabendera hakupaswa kufungwa kwa kuandika article kwenye "The economist" ni haki yake. Usipende kushabikia vitu ambavyo vitawaumiza wenzio. Be a man, usitishwe tishwe na huyo mama kitambi, useme ukweli....Utarithi ufalme wa mbingu, au utegemee Samia akupeleke mbingu yake.
 
Duh maneno makali hadi yanachoma!,asante kwa ushauri,nayaheshimu mawazo yako japo sikubaliani nayo,tusiwahukumu watu kwa hisia,tuwahukumu kwa facts!

Ile US visa ban yake ni issues za LGBT!

Magufuli aachwe apumzike,yuko kwa Baba yake,yuko na Baba yake!Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…