technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
WaTz bwana,yaani umeona hii nayo ni hoja ya kuleta JF.Sasa ukijua itakusaidia nini?Mind your own business.Leteni hoja zenye mashiko jamani,mabandiko kama haya yanaboa sana kusema ukweli.Sasaivi inasemekana Azamtv ina wateja mil2 ( 2000000*18000=36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania Uganda Kenya malawi na anazidi kujitanua nchi zingine. bado asset kama majumba, magari, viwanja, viwanda je ni kweli Mo ni zaidi ya uyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi uyu mzee.
Hv., unadhani wote wenye ving'amuzi wanajiunga kila mwenzi na kwa kifurushi hicho ulicho-calculatia..?Sasaivi inasemekana Azamtv ina wateja mil2 ( 2000000*18000=36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania Uganda Kenya malawi na anazidi kujitanua nchi zingine. bado asset kama majumba, magari, viwanja, viwanda je ni kweli Mo ni zaidi ya uyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi uyu mzee.
Forbes wanajua zaid kwa nn ni Mo. Labda tujue kwanza madeni yao,ila kuzunguka kwang kote sijaona mashamba ya Baharesa,ila ya Mo hayahesabiki..
Bagharesa = bakhresaKwa hiyo kingamuzi azam ndicho kipimo cha utajiri wa bagharesa?
Hiyo M 36 Sio faida hiyo ni gross profit.. Hapo tukitoa expenses, tax, nk inabaki kama million 10