Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Sasa hivi inasemekana Azam Tv ina wateja milioni mbili ( 2000000*18000 = 36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Malawi na anazidi kujitanua nchi zingine.

Bado asset kama nyumba, magari, viwanja, viwanda. Je ni kweli Mo ni zaidi ya huyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? Sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi huyu mzee.
 
Sasaivi inasemekana Azamtv ina wateja mil2 ( 2000000*18000=36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania Uganda Kenya malawi na anazidi kujitanua nchi zingine. bado asset kama majumba, magari, viwanja, viwanda je ni kweli Mo ni zaidi ya uyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi uyu mzee.
WaTz bwana,yaani umeona hii nayo ni hoja ya kuleta JF.Sasa ukijua itakusaidia nini?Mind your own business.Leteni hoja zenye mashiko jamani,mabandiko kama haya yanaboa sana kusema ukweli.
 
Mo anajibrandi ili kujenga network duniani na mabenk makubwa lkn hana 60% ya utajiri wa bakhresa....

Bakhresa ni mtu wa kuficha tarifa zake na asiyependa publicity....

Viwanda vya bakhresa ni mashinw za mzungu lkn za Mo ni wachina na wahindi....

Machine ya mzungu gharamabyake ni mara 9 hadi kumi ya mchina.

Gari tu zile za Bakhresa za mizigo huwezi fananisha na Mo. Mo kajaza TATA tupu.
 
Sasaivi inasemekana Azamtv ina wateja mil2 ( 2000000*18000=36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania Uganda Kenya malawi na anazidi kujitanua nchi zingine. bado asset kama majumba, magari, viwanja, viwanda je ni kweli Mo ni zaidi ya uyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi uyu mzee.
Hv., unadhani wote wenye ving'amuzi wanajiunga kila mwenzi na kwa kifurushi hicho ulicho-calculatia..?
Unafahamu cost za uzalishaji wa vipindi vyote na channels zote za Azam Tv...?
Je, unafahamu gharama za mishahara ya wafanakazi wote pale A.M.G..?

Ingependeza zaidi ukaweka cost zote hapa then utucalculatie hizo hesabu zako.. Nitakuelewa zaidi.
Anyway.. Kuhusu nani tajiri hats me sifahamu.. Nadhani ni siri zao binafsi kutokana na assets na pesa zao
 
Kwa hiyo kingamuzi azam ndicho kipimo cha utajiri wa bagharesa?
 
Back
Top Bottom