Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

ukit.0mba muathirika au mtu haumwelewi kimbia haraka kituo cha afya cha serikali ukajilize apo utapewa vidonge vya kukuepusha na ngoma ila hakikisha iwe ndani ya siku 3.
Vp mkuu umewahi kupitia hicho kipindi Cha hizo dawa LA75??
 
habRiv
 
ukit.0mba muathirika au mtu haumwelewi kimbia haraka kituo cha afya cha serikali ukajilize apo utapewa vidonge vya kukuepusha na ngoma ila hakikisha iwe ndani ya siku 3.
Inakuwaje mtu ambaye anatumia dawa vizuri virusi vyake vimelala kajikata kwenye kisu na kutua damu na kisu ambacho akajakujichubua mtu nwingine bila kujua na kujichubua jujuu bila kufika kwenye damu,hii inakaaje
 
Mmmh mbona umeleta hii mada ghafla sana?

Wewe ni muhusika?
 
Hizi ishu za virusi ni za Kuwa nazo makini Sana si za kukurupuka maana Hata hao wanasayansi wenyewe zinawasumbua.Mfano mzuri tu kwa ishu ya corona.Kinachofanya kazi kwa mmoja kinaweza kisifanye kazi kwa mwingine.
 
Alikonda sura ikawa ndefu kweli walimtania mno
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi kweli K zote mtaani et mtu ashaukwaa unakomaa nae kuna watu hawajipend kabisa yeye kala maisha wee ka ukwaa alafu mimi aje anipe kizembe aisee kuna watu wana moyo wa kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…