Mjukuu wa taifa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 489
- 458
Vp mkuu umewahi kupitia hicho kipindi Cha hizo dawa LA75??ukit.0mba muathirika au mtu haumwelewi kimbia haraka kituo cha afya cha serikali ukajilize apo utapewa vidonge vya kukuepusha na ngoma ila hakikisha iwe ndani ya siku 3.