Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Dah 😂
Huwa Kuna msemo unasema Mtu mwerevu huchukua tahadhari kwa kusikia au kuona lakini Mpumbavu hupata experience baada ya kuumia. Usijichanganye rafiki yangu kama Mtu kawaka mpotezee kwanini uishi kwa mashaka ushindwe kuinjoi maisha?
 
Huyu kaka ana moyo mgumu sana kiukweli na yuko poa
 
Hapo hata mimi hunipati..

Ila nimeshaona baadhi ya watu wanaishi hivi na clinic za ctc wanakuja pamoja..mmoja anapewa Arv zake mwingine anapewa Prep(dawa ya kujilinda)..
Ni wengi kiukweli watu wanapendana bwana
 
Inawezekana wemgine wana ukimwi na dawa hawamezi.

Kuna MTU namjua Ana ngoma Ila hatumii dawa zozote.

Nadhani sijajua ipoje Ila wanawake wanaweza kuwa na magonjwa ya ngono makubwa Ila wao wakaendelea kuwa safe. For a while sasa sijui issue ni immunity au nn.
 
Back
Top Bottom