Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Mi ndio maana napenda bwawa, maji mengi...hii minato hapana aisee. Hivi tunavyoenda kavu ni hatari sana, tunapimana kwa macho tu na kujipa majibu kuwa hii ni -ve. Ona binti alivyo mrembo, lazima uende bare footed!
 
Kuna level ya viral load (idadi ya virusi vya HIV kwenye damu) ikifikia kuwa undetected (kutoonekana kwenye damu) inakuwa huwezi kumuambukiza mwenza wako hata mkijamiiana bila ya kinga. Ila inataka ujasiri wa hali ya juu.
Yani nikijua una ngoma sidhani hata kama mnara utasoma achilia mbali kupiga kavu.

Kama ni kweli basi mwamba jasiri hasa.
Halafu kiba100 kinaweza pia kukusaidia. Sumu haionjwi!
 
Ila kuna watu wanajua kupenda acha kabisa. Kuna mtu tunafanya nae kazi anampenda huyo mdada na mdada kamwambia ameathirika.

Jamaa haelewi hadi wakapima kwenye bibie kawaka.
Bibie anamwambia jamaa yeye hawezi kuwa na mtu ambaye hajaathirika hataki kunyanyapaliwa, huyu mwamba eti akamwambia “niambukize na mimi basi ili tuwe sawa”. Ilibaki kidogo nimlambe kofi alivyokuwa ananihadithia ila nikagundua mapenzi upofu.
 
Huyo dada mwenyewe anaupendo sana wachache wanaoweza kusema hali zao
Mimi nikipata wa hivi nakubali na kumuoa kabisa coz ameonesha uwazi kwangu na kunijali sana
 
100% Ni kweli..
Na watu wengi sana wanaishi ni Serodiscordant..
Sisemi Kwa ushabiki bali nimeshuhudia sana..
Watu wengi ambao mara Nyingi tunaruhusu mahusiano hayo ni wale waliopima HVL na mara nyingi Huwa Zinasoma TND..("Target Not Detected")

Huyu ana Percent chini ya 0.01 ya kumuambika mwingine na hata wakinamama wakifika Hapa huwa wanaruhusiwa kuwa na watoto yaani kuchukua mimba na kuzaa..
Watu hawajiulizi kwanini Serostatus (Maambukizi) ya Watu hayaongezeki na yanazidi kupungua?

Kwanini siku hizi Idadi ya watoto Wadogo wenye maambukizi imepungua Sana tofauti na Zamani..

Jibu Ni moja Tu kuwa inawezekana na mifano ninayo na nimeiona si chini ya couple 100 zikiishi hivyo na kwa furaha

Kama kuna mtu mwenye swali namkaribisha maana hii ni moja ya Sehemu zangu za kujidai
 
Ila kuna watu wanajua kupenda acha kabisa. Kuna mtu tunafanya nae kazi anampenda huyo mdada na mdada kamwambia ameathirika.

Jamaa haelewi hadi wakapima kwenye bibie kawaka.
Bibie anamwambia jamaa yeye hawezi kuwa na mtu ambaye hajaathirika hataki kunyanyapaliwa, huyu mwamba eti akamwambia “niambukize na mimi basi ili tuwe sawa”. Ilibaki kidogo nimlambe kofi alivyokuwa ananihadithia ila nikagundua mapenzi upofu.
Alafu Wazima mpo Yeye anataka Victim?🤣🤣🤣
 
Mi ndio maana napenda bwawa, maji mengi...hii minato hapana aisee. Hivi tunavyoenda kavu ni hatari sana, tunapimana kwa macho tu na kujipa majibu kuwa hii ni -ve. Ona binti alivyo mrembo, lazima uende bare footed!
😂😂😂😂😂😂 si huwa mnasema bwawa haina ladha
Sasa utajuaje huyu ana bwawa au hana
 
Back
Top Bottom