Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
- Thread starter
- #221
Bahati mbaya sana nyie mna tatizo moja au mawili makubwaHapo ktk Mistari yoote hio uliotoa HAKUNA HATA MMOJA yesu aliposema "MIMI NI MUNGU"
ALfa na Omega ALIKUFA siku Tatu?
Inafahamu maana ya Alfa na Omega wewe?
Hilo andiko huoni liko kinyume na Uhalisia?
Ni kweli kuwa katika-Kitabu cha Ufunuo 1, ayah ya 8, sio ya 7 km wewe Eiyer ulivyonukuu inaonyeshwa kuwa Yesu alisema yafuatayo kuhusu yeye mwenyewe: Mimi ni Alfa na Omega, asema Bwana, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu.
Hizi ni sifa za Mwenyezi Mungu. Hivyo, Yesu, kulingana na Wakristo wa mwanzo, na bibilia hio hapa anadai uungu.-
Hata hivyo, hayo ni mojawapo ya maandiko yaliyo chakachuliwa na ya makosa ya kiuchapishaji katika biblia za King James Version-KJV.-
-Katika-RSV, wanazuoni wa Biblia walisahihisha tafsiri na kuandika: Mimi ni Alfa na Omega, asema-Bwana Mungu.-
-Masahihisho pia yalifanywa kwa-New American Bible-(Biblia Mpya ya Marekani) iliyochapishwa na Katoliki.
Tafsiri ya Ayah hiyo imerekebishwa ili kuiweka katika muktadha wa sawa kama ifuatavyo: Bwana Mungu anasema: Mimi ni Alfa na Omega, yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu.-
Kwa masahihisho haya, ni dhahiri kuwa hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu wala sio kauli ya Nabii Iisa (YESU).
Nenda kachukue BIBLIA iliochapishwa na VATICAN ukasome Sio hio Michakachuo yenu ya ILEMELA na Mabatini huko MWANZA.
La kwanza inawezekana hamsomi mnachoandikiwa
La pili ni kwamba inawezekana mnasoma halafubhamuelewi
Kwenye nilichoandika nimejenga hoja kuhusu "Alfa na Omega atajaekuja Mungu mwenyezi"
Nimesema na kutoa ushahidi huyo Mungu atakaekuja ni yupi lakini kwasababu huelewi au husomi umekuja kurudia kuandika nilichokitolea maelezo tayari
Una hatari sana wewe!
Last edited by a moderator: