Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

Bahati mbaya sana nyie mna tatizo moja au mawili makubwa

La kwanza inawezekana hamsomi mnachoandikiwa

La pili ni kwamba inawezekana mnasoma halafubhamuelewi

Kwenye nilichoandika nimejenga hoja kuhusu "Alfa na Omega atajaekuja Mungu mwenyezi"

Nimesema na kutoa ushahidi huyo Mungu atakaekuja ni yupi lakini kwasababu huelewi au husomi umekuja kurudia kuandika nilichokitolea maelezo tayari

Una hatari sana wewe!
 
Last edited by a moderator:

Faiza,wakati unaitetea hii Alfa na Omega na ukadai kwamba haikumhusu Yesu bali Mungu ulikuwa umesahau kwamba kuna kundi la wehu wanasema maneno haya hayakuwepo kwenye biblia?

Halafu,tangu lini wewe ukachukua ushauri kutoka kwa Wakristo?
 
Last edited by a moderator:
Kusema tu Yesu ni mungu huo ni udhaifu tayari. Kwa nini unatumia defensive mechanism? Kwani Mungu wenu ana wasiwasi gani kama kwel ndiye Mungu na yupo na yeye ni mwenye nguvu? Kuna maneno wanaelement za kujihami.

Mfano;

1. Mungu mwenye nguvu
2. Mwanzo na mwisho
3. Mungu wa kweli
4. Mungu wa milele
5 Mungu mmoja n.k

Nikisema Mungu wenu ni muoga nitakuwa nimekosea? Kwa nini anajihami? Huyu si ana uwezo wa kutamka na kila kitu kikawa?

Huyu si ndiye mnasema alituumba kwa kutuwekea pumzi ya milele? Kwanini alishindwa kufanya tumjue automatically kama tunavyoivuta pumzi automatically.?.kwa nn tumsime darasani?.Mungu wa hivi ni mungu wa aina gani.

Kubalianeni nami kwamba sisi ndio tunaoomuumba mungu na si kwamba yeye alituumba. There an Idea of God not a real figure known as God.

Uwepo wa dini zaidi ya mia moja duniani ni jibu tosha kwamba tunamuumba mungu sisi wenyewe.

Siku mkiujua ukweli mtakuwa huru!
 
Duuh...haya mambo ya Imani mazito sana. Ila mi ningependa kutoa wazo tu kwamba....tusemee yooote lakini when it comes kwenye mambo ya Mungu...tuache tuu aitwe Mungu. Mungu hachunguzikii....sisi wapitaji tu kama maua leo tupo kesho hatupo...tuna nini cha kujinadi hadi kukufuru hivi! Duuh....Napita tu.
 
Mimi nilitegemea umeleta aya, kumbe yale yale ya hadith za Muhammad.

Hiyo nyundo imekuingia sawa sawa kutoka kwa wenzako walioenda shule. Huna jibu hapo bali kujibabaisha tu.

Wameweka wazi kabisa kuwa hapo mmechezea biblia kwa mikono yenu kama ulivyojaribu hapa kutudanganya tukakustukia, mahala hakuna jina "Jesus" wewe ukaongezea.

Hivi huoni kuwa unajidanganya nafsi yako?
 

Your fellow learned Christians clearly give evidence that the term "Alpha and Omega" was not in the earlier bibles, its an "interpolation". Read:

Ishmael hawa hapa Wakristo wenzio wanaopinga dhana ya "Alpha na Omega" kuwepo kwenye biblia za awali na wameweka wazi na ushahidi juu kuwa hicho ni kionjo kilichoongezwa baadae.


Arche of the Creation of God as Alpha and Omega (No. 229)
(Edition 1.0 19971217-19971217)
The arguments of modern Christianity regarding Christ have much of their origins in Greek philosophy and ancient religious practices running contrary to the Bible. Some of the biblical texts in English have been mistranslated to conceal the intent and structure of the application of the terms because they run counter to Trinitarian theology. The application of the terms Arche, Alpha and Omega, first and last, beginning and end, are explained taking into account the various texts.


Christian Churches of God
PO Box 369, WODEN ACT 2606, AUSTRALIA
Email: secretary@ccg.org
(Copyright ã 1997 Wade Cox)
This paper may be freely copied and distributed provided it is copied in total with no alterations or deletions. The publisher's name and address and the copyright notice must be included. No charge may be levied on recipients of distributed copies. Brief quotations may be embodied in critical articles and reviews without breaching copyright.
This paper is available from the World Wide Web page:
http://www.logon.org and http://www.ccg.org

Arche of the Creation of God as Alpha and Omega
In the various papers on God and the Messiah, we have dealt with the first two aspects of the concepts embodied in the Godhead, namely those of God the Father, and Jesus Christ as the Son of God. The summary obtained from the first section of our Statement of Beliefs is that God the Father is properly the one true God and that Jesus Christ is the Son of God and that this understanding is the prerequisite to eternal life (Jn. 17:3).

Soma zaidi: Alpha and Omega is Interpolation
 
Ushahidi wowote ni upi? Nikikuletea maandiko yangu yakisema kwamba Yesu ni Mungu utayakubali?

Je,huo ushahidi utauamini?

Wacha porojo, mpaka sasa umeshindwa kabisa kuonesha wapi Yesu anasema "Mimi Mungu".
 
Faiza,wakati unaitetea hii Alfa na Omega na ukadai kwamba haikumhusu Yesu bali Mungu ulikuwa umesahau kwamba kuna kundi la wehu wanasema maneno haya hayakuwepo kwenye biblia?

Halafu,tangu lini wewe ukachukua ushauri kutoka kwa Wakristo?

Wewe wacha porojo, onesha wapi Yesu anasema "Mimi Mungu".

Umebaki kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, mimi nimekuonesha aya zaidi ya kumi anasema ametumwa.
 

Huna hoja ndugu mgalatia.
Unabwabwaja halafu unaita hoja.

Wewe na WAKIRISTO wenzako mnakubali kabisa kuwa mungu wenu ALIPIGWA MPAKA AKAFA.

Sasa nakuuliza na akili zako zilivyo nyingi Alfa na Omega Ana sifa ya KUFA?
Huyo Alfa na Omega Pale ALIPOKUFA TU Bado Cheo hicho alikuwa nacho?

Hebu jibu km mtu mwenye kichwa na sio nazi tu yenye macho na mdomo.
 

Tatizo unalo wewe na wenzako, Yesu kwenye maandiko anasema nimetumwa wewe huyaoni. Mungu anatumwa?
 
Wewe wacha porojo, onesha wapi Yesu anasema "Mimi Mungu".

Umebaki kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, mimi nimekuonesha aya zaidi ya kumi anasema ametumwa.

Nilichokuuliza ni sababu ya wewe kuitetea hiyo Alfa na Omega mwanzoni na baada ya kugeuka shubiri unaamua kuikana,mwanzoni ulikuwa hujui yote hayo?

Suala la uungu wa Yesu nimekuuliza kuhusu muongozo naomba unijibu na nitakujibu!
 

Suala la Mungui Yesu kufa ni lingine na tutalifikia na utaona vile ambavyo inawezekana bila tatizo kabisa,kwanza tumalize hili la Alfa na Omega,unakubali maandiko yanathibitisha kwamba Yesu ni Alfa na Omega?
 
Ametumwa kutoka wapi?

Manabii wote na mitume maandiko yanaonesha wakati wakiagizwa au kupewa maagizo yao na Mungu,unaweza kunionesha wakati Yesu akitumwa kama unavyodai?

Hilo wala usiwe na shaka hata chembe nitakuonesha mpaka wewe mwenyewe useme basi.

Sasa wewe nioneshe wapi Yesu anasema "Mimi Mungu".

Hilo naona kwako ni kizungumkuti mpaka sasa, kama huna sema tu.
 
Hilo wala usiwe na shaka hata chembe nitakuonesha mpaka wewe mwenyewe useme basi.

Sasa wewe nioneshe wapi Yesu anasema "Mimi Mungu".

Hilo naona kwako ni kizungumkuti mpaka sasa, kama huna sema tu.

Umeulizwa kwamba unataka atumie ushahidi gani?! Na sio kwenda kwenda tu kama walevi, mbona ni jambo rahisi kujibu tu, halafu mkaendelea...
 
Umeulizwa kwamba unataka atumie ushahidi gani?! Na sio kwenda kwenda tu kama walevi, mbona ni jambo rahisi kujibu tu, halafu mkaendelea...

Wewe msaidie tumieni ushahidi wowote muupendao:

Onesheni wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" "niabuduni" au "I am God" "worship me".
 
Suala la Mungui Yesu kufa ni lingine na tutalifikia na utaona vile ambavyo inawezekana bila tatizo kabisa,kwanza tumalize hili la Alfa na Omega,unakubali maandiko yanathibitisha kwamba Yesu ni Alfa na Omega?

Tatizo lenu nyie wagalatia ni Usanii!

Mnaleta usanii wenu mpaka kwa Mungu mkuu.
Usilete ujanja wa kitoto hapa wa kusema huko tutafika, nakuuliza ALFA na OMEGA ANASIFA YA KUFA?

Ntakubali vipi binaadamu AITWE MUNGU? Hivi wewe una busara kweli?

Ukafiri utawapeleka Jahannamu milele nyie.
We endelea Kuwa mkaidi tu.
 
Umeulizwa kwamba unataka atumie ushahidi gani?! Na sio kwenda kwenda tu kama walevi, mbona ni jambo rahisi kujibu tu, halafu mkaendelea...

We summun bukmun mbona umedandia Treni usoni!?
Msaidie muimba kwaya mwenzako alichoulizwa, sio unavamia tu km mwenye tumbo la kuhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…