Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Huu muungano wa Zanzibar na Tanganyika , hapo baadae unatakiwa kufutiliwa mbali kabisaa, tubaki na nchi moja tuuuuuu.Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Mohamed Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki
Kuzuia hilo , Waingereza na Marekani wakamshinikiza Nyerere kuungana na Zanzibar na kundi hilo likamezwa kwenye serikali ya Muungano na Karume kupata nguvu
Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Mohamed Said
Iwe nchi moja ambayo Zanzibar ni shehemu yake au nchi 2 tofauti?Huu muungano wa Zanzibar na Tanganyika , hapo baadae unatakiwa kufutiliwa mbali kabisaa, tubaki na nchi moja tuuuuuu.
Maana wakazi wengi wa Zbr hasa weusi asili yao ni Tanganyika.
Serikali ya mapinduzi ya Zbr ifutiliwe mbali, tubaki na serikali moja tu ya Tanzania.Iwe nchi moja ambayo Zanzibar ni shehemu yake au nchi 2 tofauti?
Uamuzi mgumu Sana huu, Zanzibar watalipinga kwa nguvu zoteSerikali ya mapinduzi ya Zbr ifutiliwe mbali, tubaki na serikali moja tu ya Tanzania.
Serikali ya mapinduzi ya Zbr ifutiliwe mbali, tubaki na serikali moja tu ya Tanzania.
Ila hakuna haja ya kuwa serikali isiyo na menoUamuzi mgumu Sana huu, Zanzibar watalipinga kwa nguvu zote
Hilo jambo halihitaji demokrasia bwashee, ni matumizi ya nguvu, mwanzo mwisho.Hivi unafikiri hao Zanzibar watakubali kufutiwa Serekali yao?
Hakuna wakupiga kama state ikiamua...huoni wanaoleta chokochoko wametulizwa.Uamuzi mgumu Sana huu, Zanzibar watalipinga kwa nguvu zote
Hakuna linaloshindikana chini ya jua.Hivi unafikiri hao Zanzibar watakubali kufutiwa Serekali yao?
Hakuna wakupiga kama state ikiamua...huoni wanaoleta chokochoko wametulizwa.
#MaendeleoHayanaChama
Hilo jambo halihitaji demokrasia bwashee, ni matumizi ya nguvu, mwanzo mwisho.
Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Mohamed Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki
Kuzuia hilo , Waingereza na Marekani wakamshinikiza Nyerere kuungana na Zanzibar na kundi hilo likamezwa kwenye serikali ya Muungano na Karume kupata nguvu
Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Mohamed Said
Maana wakazi wengi wa Zbr hasa weusi asili yao ni Tanganyika.
Ahaa, kwa hiyo hizi tetesi za mabeberu kuhusika halina ukweli wowote sio..Muungano ulipangwa hata kabla ya mapinduzi, Moja ya malengo ya hayo mapinduzi ilikua ni huo Muungano
Ahaa, kwa hiyo hizi tetesi za mabeberu kuhusika halina ukweli wowote sio..
Hiyo ni kwa mujibu wa 'declassified' CIA reports ambazo zilikuwepo kwenye mitandao.ilikuwa project ya CIA ili kuzuia Zanzibar isigeuzwe kuwa "Cuba ya africa" na wakomunisti.
By late C. Mtikila R.I.P
Sasa ni kwa Nini waliwapa Uhuru Ile serikali ya waliyoiacha, Kisha baada ya miezi michache wapange tena kuipindua?Hao mabeberu ndio waliokua master planer, Unafikiri Zenj bila ya baraka ya Mabeberu kungelifanyika mapinduzi? Mbona Bara mapinduzi yalishindikana licha ya kua Nyerere alikua kashivishwa Hijabu na kukimbia.