Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Abdulrahman Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki

Kuzuia hilo , Waingereza na Marekani wakamshinikiza Nyerere kuungana na Zanzibar na kundi hilo likamezwa kwenye serikali ya Muungano na Karume kupata nguvu

Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Mohamed Said
 
Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Mohamed Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki

Huu muungano wa Zanzibar na Tanganyika , hapo baadae unatakiwa kufutiliwa mbali kabisaa, tubaki na nchi moja tuuuuuu.

Maana wakazi wengi wa Zbr hasa weusi asili yao ni Tanganyika.
 
Huu muungano wa Zanzibar na Tanganyika , hapo baadae unatakiwa kufutiliwa mbali kabisaa, tubaki na nchi moja tuuuuuu.

Maana wakazi wengi wa Zbr hasa weusi asili yao ni Tanganyika.
Iwe nchi moja ambayo Zanzibar ni shehemu yake au nchi 2 tofauti?
 
Hakuna wakupiga kama state ikiamua...huoni wanaoleta chokochoko wametulizwa.

#MaendeleoHayanaChama
Hilo jambo halihitaji demokrasia bwashee, ni matumizi ya nguvu, mwanzo mwisho.

Kama mambo yangekua ni mepesi kihivo mbona wangelikua wameshafanya zamani, Ndoto ya Nyerere ya mda mrefu sana ilikua ni kuifuta serekali ya Zanzibar na kuwa na Serekali Moja.
Hayo mambo Hayapo mepesi kihivo
 
Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Mohamed Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki

Kuzuia hilo , Waingereza na Marekani wakamshinikiza Nyerere kuungana na Zanzibar na kundi hilo likamezwa kwenye serikali ya Muungano na Karume kupata nguvu

Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Mohamed Said

Muungano ulipangwa hata kabla ya mapinduzi, Moja ya malengo ya hayo mapinduzi ilikua ni huo Muungano
 
Hao mabeberu ndio waliokua master planer, Unafikiri Zenj bila ya baraka ya Mabeberu kungelifanyika mapinduzi? Mbona Bara mapinduzi yalishindikana licha ya kua Nyerere alikua kashivishwa Hijabu na kukimbia.
Sasa ni kwa Nini waliwapa Uhuru Ile serikali ya waliyoiacha, Kisha baada ya miezi michache wapange tena kuipindua?

Si wangeacha kuipa Zanzibar Uhuru chini ya Waarabu?
 
Back
Top Bottom